Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WADAU JOSEPHATH TENDEWA NA FIDES ASSENGA WAMEREMETA JIJINI DAR


Maharusi Josephath Tendewa na Fides Assenga wakiwa kwenye nyuso za furaha mara baada ya kumeremeta katika kanisa la Mtakatifu Joseph na baadae kufanyika kwa tafrija ya kuwapongeza iliyofanyika kwenye ukumbi wa Urafiki Social hall,Sinza jijini Dar.
Maharusi wakiwa na wapambe wao.
KUONA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WADAU JESSE NA FAITH WAMEREMETA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Mdau mwandamizi wa Globu ya Jamii ambaye ni Meneja wa Benki Bw. Jesse Harris Mlule akimvisha pete Faith Alex Ndamalya walipomeremeta leo Januari 2, 2016 katika kanisa la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam kabla ya kuelekea Ukumbi wa Tanzania Law School kwa mnuso wa nguvu ila si kabla ya kupitia Ledger's Plaza Bahari Beach Hotel kwa mapumziko mafupi. Mdau Faith Alex Ndamalya akimvisha pete mumewe Jesse Jesse akiweka saini katika hati ya Ndoa Faith akiweka saini kwenye hati ya ndoaMaharusi...

 

9 years ago

Michuzi

WADAU ARCHBOLD NA AGNESS WAMEREMETA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

 Wadau waandamizi wa Globu ya Jamii Archbold Josaphat Kiwia na Agnes Samwel Likongo wamemeremeta leo katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam. Wadau hawa, ambao ni wafanyabishara maarufu wa mbao, hivi sasa wanaelekea hoteli ya Serena kwa mnuso wa nguvu waliouandaa. Globu ya Jamii inawatakia Archbold na Agness maisha mazuri na ya furaha! Bwana harusi amvisha pete mkewe Bi Harusi amvisha pete mumewe  Archbold akimwaga winoAgness naye anamwaga wino Wakikabidhiwa hati. Kwa mapicha...

 

10 years ago

Michuzi

WADAU GASTO NA FEDERICA WAMEREMETA JIJINI ARUSHA

Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Gasto Leseiyo akiwa ame ‘pose’ kwa picha na Bibi harusi Federica Sikale baada ya kufunga pingu za maisha katika Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu Ngarenaro Arusha jana na kufatiwa na sherehe iliyofanyika ukumbi wa Leons Garden Sakina. Gasto Leseiyo na Mke wake Federica Sikale baada ya kufunga pingu za maisha katika Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu Ngarenaro Arusha wakiwa katika picha ya pamoja na Mama wazazi .

 

10 years ago

Michuzi

wadau hamisi na rehema wameremeta Segerea Mwisho, Dar es salaam

Hamisi Mrisho Mohamedi mzawa wa Kariakoo ambaye pia ana makazi yake kule Segerea Jijini Dar, siku ya Ijumaa, 19 Juni 2015 alifunga ndoa na Bi. Rehema Joachim Milanzi mkazi wa Segerea, Dar. Mohamedi kuachana kabisa na klabu ya makapera aka Bado nipo nipo Club na kufanikiwa kupata mama mwenye nyumba Bi. Rehema. Harusi ilifanyika Masjid Kubah iliyopo Segerea Mwisho, Dar es Salaam. Tuwatakie maisha mema maharusi. Maharusi wakiwa wamekumbatiana kwa furaha baada ya kumeremeta Maharusi...

 

10 years ago

GPL

MRISHO NGASSA NA LADHIA WAMEREMETA JIJINI DAR

Mrisho Ngassa na mkewe Ladhia Mngazija wakiwa na nyuso za tabasamu baada ya kufunga ndoa leo.   MSHAMBULIAJI wa Taifa Stars na Yanga SC, Mrisho Ngassa leo amefunga ndoa ya pili na Ladhia Mngazija eneo la Tegeta jijini Dar es Salaam.  ...Wawili hao wakiwa wamekumbatiana baada ya…

 

11 years ago

Michuzi

wadau sereki na zainab wameremeta

 Wadau Sereki na Zainab wakila pozi baada ya kumeremeta hivi karibuni  Sereki na Zainab wakifurahia siku yao ya kwanza pamoja  Mmmmmmmwwwwwwwaaaaaaaa.... Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

11 years ago

Michuzi

wadau zuberi na asha wameremeta


Sherehe za harusi ya Bw. Zuberi Hamis Khalid na Asha Shaban Maji katika ukumbi wa Marquee wa Serena Hotel jijini Dar es salaam Jumamosi Juni 14, 2014

 

11 years ago

Michuzi

wadau robert rutegama na delly kisesa wameremeta

Wadau wakubwa wa Globu ya Jamii mjini Dodoma Robert Rutegama na mai waifu wake Delly Kisesa  wamemeremeta hivi majuzi katika kanisa la Lutheran Dodoma na baadaye kufurahia kumeremeta kwao katika mnuso wa nguvu ulioandaliwa katika ukumbi wa African View. Globu ya Jamii inawatakia maisha ya amani, furaha na upendo daima duni wadau hawa - kama wanavyoonekana kwenye taswira hii.

 

11 years ago

Michuzi

WADAU ALEX NA FLORA WAMEREMETA HUKO LINDI

Ilikuwa patashika nguo chanika katika sherehe ya Harusi ya Alex Mwalwiba na Flora Japher  iliyofungwa katika kanisa la KKKT Mjini Lindi na baadaye mnuso wa nguvu  katika ukumbi wa Lindi Beach hotel.   Bwana Harusi ni Fundi mkuu wa kampuni ya Uniglobex ya mjini lindi huku Bi Harusi akiwa mwajiriwa wa Jeshi la polisi Mkoani Lindi kitengo cha Usalama barabarani Sote kwa pamoja Tunawaombea Dua katika maisha yao Mapya ya Ndoa  Picha na Abdulaziz Video Rec Ya Mjini Lindi Wadau  Alex Mwalwiba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani