Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WADAU ALEX NA FLORA WAMEREMETA HUKO LINDI

Ilikuwa patashika nguo chanika katika sherehe ya Harusi ya Alex Mwalwiba na Flora Japher  iliyofungwa katika kanisa la KKKT Mjini Lindi na baadaye mnuso wa nguvu  katika ukumbi wa Lindi Beach hotel.   Bwana Harusi ni Fundi mkuu wa kampuni ya Uniglobex ya mjini lindi huku Bi Harusi akiwa mwajiriwa wa Jeshi la polisi Mkoani Lindi kitengo cha Usalama barabarani Sote kwa pamoja Tunawaombea Dua katika maisha yao Mapya ya Ndoa  Picha na Abdulaziz Video Rec Ya Mjini Lindi Wadau  Alex Mwalwiba...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Bwana Tariq na Bi. Vumi wameremeta huko jijini Mbeya

Bwana Tariq na Mkewe Bi. Vumi Yassin wakiwa katika nyuso za furaha mara baada ya kumeremeta kwao hivi karibuni huko jijini Mbeya.Bi. Harusi,Vumi Yassin akiwa na dada yake kipenzi Bi. Amina Yassin wakati wa sherehe ya ndoa iliyofanyika hivi karibuni,Jijini Mbeya.Vijana wa Madrasa wakisoma kaswida na kupiga dufu wakati wa sherehe hiyo.

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA KATA ZA MIKUMBI,NDARO NA MBANJA HUKO LINDI MJINI KWA AJILI YA KAMPENI ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MKOANI LINDI

 Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishirikiana na viongozi wa CCM wa Kata ya Ndaro kuunga mkono muundo wa serikali mbili unaopendekezwa na Rasimu ya Katiba. Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishirikiana na viongozi wa CCM wa Kata ya Ndaro kuunga mkono muundo wa serikali mbili unaopendekezwa na Rasimu ya Katiba. Mjumbe wa NEC Taifa ya Chama Cha Mapinduzi na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza na uongozi wa Kata ya Ndaro katika...

 

10 years ago

GPL

MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA KATA ZA MIKUMBI, NDARO NA MBANJA HUKO LINDI MJINI KWA AJILI YA KAMPENI ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MKOANI LINDI

Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishirikiana na viongozi wa CCM wa Kata ya Ndaro kuunga mkono muundo wa serikali mbili unaopendekezwa na Rasimu ya Katiba. Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishirikiana na viongozi wa CCM wa Kata ya Ndaro kuunga mkono muundo wa serikali mbili unaopendekezwa na Rasimu ya… ...

 

10 years ago

Michuzi

Edward Mwambopo na Anitha Makundi wameremeta huko jijini mbeya

Mdau Edward Mwambopo na mai waifu wake Anitha Makundi wote wakazi wa jijini Mbeya wakiingia ukumbini kwa madaha wakati wa sherere yao ya kupongezwa na ndugu,jamaa na marafiki mara baada ya kumeremeta kwao.Sherehe hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Mkapa,Soko Matola jijini Mbeya.Mdau Edward Mwambopo akitoa neno kwa wageni waalikwa.Mdau Edward Mwambopo na mai waifu wake Anitha Makundi wakiwa na nyuso za furana na upendo tele katika Sherehe yao ya kupongezwa,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mkapa...

 

11 years ago

Michuzi

wadau sereki na zainab wameremeta

 Wadau Sereki na Zainab wakila pozi baada ya kumeremeta hivi karibuni  Sereki na Zainab wakifurahia siku yao ya kwanza pamoja  Mmmmmmmwwwwwwwaaaaaaaa.... Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

11 years ago

Michuzi

wadau zuberi na asha wameremeta


Sherehe za harusi ya Bw. Zuberi Hamis Khalid na Asha Shaban Maji katika ukumbi wa Marquee wa Serena Hotel jijini Dar es salaam Jumamosi Juni 14, 2014

 

11 years ago

Michuzi

Wadau David Kapungu na Vailet Ndimbo wameremeta

Maharusi David Kapungu (kushoto) akiwa na mkewe Vailet Mateso Ndimbo mara baada ya kufunga ndoa katika kanisa la Mt Kilian mjini Mbinga na kufuatiwa na sherehe iliyofanyika katika ukumbi wa kahawa club mjini Mbinga. Maharusi David Kapungu na Vailet Mateso Ndimbo wakinyweshana champen wakati wa sherehe yao ya kuwapongeza mara baada ya kufunga ndoa katika kanisa la Mt Kilian Mbinga mjini na kufuatiwa na sherehe ya kuwapongeza iliyofanyika katika ukumbi wa kahawa club mjini humo ,maharusi...

 

10 years ago

Michuzi

WADAU GASTO NA FEDERICA WAMEREMETA JIJINI ARUSHA

Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Gasto Leseiyo akiwa ame ‘pose’ kwa picha na Bibi harusi Federica Sikale baada ya kufunga pingu za maisha katika Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu Ngarenaro Arusha jana na kufatiwa na sherehe iliyofanyika ukumbi wa Leons Garden Sakina. Gasto Leseiyo na Mke wake Federica Sikale baada ya kufunga pingu za maisha katika Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu Ngarenaro Arusha wakiwa katika picha ya pamoja na Mama wazazi .

 

11 years ago

Michuzi

wadau robert rutegama na delly kisesa wameremeta

Wadau wakubwa wa Globu ya Jamii mjini Dodoma Robert Rutegama na mai waifu wake Delly Kisesa  wamemeremeta hivi majuzi katika kanisa la Lutheran Dodoma na baadaye kufurahia kumeremeta kwao katika mnuso wa nguvu ulioandaliwa katika ukumbi wa African View. Globu ya Jamii inawatakia maisha ya amani, furaha na upendo daima duni wadau hawa - kama wanavyoonekana kwenye taswira hii.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani