Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Edward Mwambopo na Anitha Makundi wameremeta huko jijini mbeya

Mdau Edward Mwambopo na mai waifu wake Anitha Makundi wote wakazi wa jijini Mbeya wakiingia ukumbini kwa madaha wakati wa sherere yao ya kupongezwa na ndugu,jamaa na marafiki mara baada ya kumeremeta kwao.Sherehe hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Mkapa,Soko Matola jijini Mbeya.Mdau Edward Mwambopo akitoa neno kwa wageni waalikwa.Mdau Edward Mwambopo na mai waifu wake Anitha Makundi wakiwa na nyuso za furana na upendo tele katika Sherehe yao ya kupongezwa,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mkapa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Bwana Tariq na Bi. Vumi wameremeta huko jijini Mbeya

Bwana Tariq na Mkewe Bi. Vumi Yassin wakiwa katika nyuso za furaha mara baada ya kumeremeta kwao hivi karibuni huko jijini Mbeya.Bi. Harusi,Vumi Yassin akiwa na dada yake kipenzi Bi. Amina Yassin wakati wa sherehe ya ndoa iliyofanyika hivi karibuni,Jijini Mbeya.Vijana wa Madrasa wakisoma kaswida na kupiga dufu wakati wa sherehe hiyo.

 

11 years ago

Michuzi

TAIFA STARS YAINGIA KAMBINI HUKO TUKUYU,JIJINI MBEYA

Wakati Taifa Stars inaingia kambini Tukuyu mkoani Mbeya kesho (Julai 9 mwaka huu), kocha Mart Nooij amesema kambi ya wiki mbili nchini Botswana imekisaidia kikosi chake kujiandaa kwa ajili ya mechi dhidi ya Msumbiji.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo (Julai 8 mwaka huu) kuhusu maandalizi ya timu hiyo, Nooij amesema timu yake inafanya mazoezi kwenye maeneo ya baridi kwa sababu za kitaalamu, hivyo kambi ya Tukuyu kama ilivyokuwa ya Botswana itawasaidia kwa mechi dhidi ya Msumbiji.
Taifa Stars...

 

11 years ago

Michuzi

WADAU ALEX NA FLORA WAMEREMETA HUKO LINDI

Ilikuwa patashika nguo chanika katika sherehe ya Harusi ya Alex Mwalwiba na Flora Japher  iliyofungwa katika kanisa la KKKT Mjini Lindi na baadaye mnuso wa nguvu  katika ukumbi wa Lindi Beach hotel.   Bwana Harusi ni Fundi mkuu wa kampuni ya Uniglobex ya mjini lindi huku Bi Harusi akiwa mwajiriwa wa Jeshi la polisi Mkoani Lindi kitengo cha Usalama barabarani Sote kwa pamoja Tunawaombea Dua katika maisha yao Mapya ya Ndoa  Picha na Abdulaziz Video Rec Ya Mjini Lindi Wadau  Alex Mwalwiba...

 

9 years ago

Vijimambo

EDWARD LOWASSA NAYE APIGA KURA YAKE HUKO MONDULI

Mgombea Urais wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiwa na mke wake Mama Regina Lowassa wakishiriki zoezi la uchaguzi mkuu kwa kupiga kura zao leo huko Monduli mkoani Arusha.

 

9 years ago

GPL

EDWARD LOWASSA NAYE APIGA KURA YAKE HUKO MONDULIlo

Mgombea Urais wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiwa na mke wake Mama Regina Lowassa wakishiriki zoezi la uchaguzi mkuu kwa kupiga kura zao leo huko Monduli mkoani Arusha.

 

10 years ago

GPL

MRISHO NGASSA NA LADHIA WAMEREMETA JIJINI DAR

Mrisho Ngassa na mkewe Ladhia Mngazija wakiwa na nyuso za tabasamu baada ya kufunga ndoa leo.   MSHAMBULIAJI wa Taifa Stars na Yanga SC, Mrisho Ngassa leo amefunga ndoa ya pili na Ladhia Mngazija eneo la Tegeta jijini Dar es Salaam.  ...Wawili hao wakiwa wamekumbatiana baada ya…

 

10 years ago

Michuzi

WADAU GASTO NA FEDERICA WAMEREMETA JIJINI ARUSHA

Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Gasto Leseiyo akiwa ame ‘pose’ kwa picha na Bibi harusi Federica Sikale baada ya kufunga pingu za maisha katika Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu Ngarenaro Arusha jana na kufatiwa na sherehe iliyofanyika ukumbi wa Leons Garden Sakina. Gasto Leseiyo na Mke wake Federica Sikale baada ya kufunga pingu za maisha katika Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu Ngarenaro Arusha wakiwa katika picha ya pamoja na Mama wazazi .

 

9 years ago

Michuzi

WADAU JESSE NA FAITH WAMEREMETA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Mdau mwandamizi wa Globu ya Jamii ambaye ni Meneja wa Benki Bw. Jesse Harris Mlule akimvisha pete Faith Alex Ndamalya walipomeremeta leo Januari 2, 2016 katika kanisa la Mtakatifu Albano jijini Dar es salaam kabla ya kuelekea Ukumbi wa Tanzania Law School kwa mnuso wa nguvu ila si kabla ya kupitia Ledger's Plaza Bahari Beach Hotel kwa mapumziko mafupi. Mdau Faith Alex Ndamalya akimvisha pete mumewe Jesse Jesse akiweka saini katika hati ya Ndoa Faith akiweka saini kwenye hati ya ndoaMaharusi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani