TAIFA STARS YAINGIA KAMBINI HUKO TUKUYU,JIJINI MBEYA
![](http://4.bp.blogspot.com/-FJ8ymDuXbeQ/U7wM_LZ0fTI/AAAAAAAFyes/Jc-JAn0CrzY/s72-c/f8314b9fbf_Taifa-Stars.jpg)
Wakati Taifa Stars inaingia kambini Tukuyu mkoani Mbeya kesho (Julai 9 mwaka huu), kocha Mart Nooij amesema kambi ya wiki mbili nchini Botswana imekisaidia kikosi chake kujiandaa kwa ajili ya mechi dhidi ya Msumbiji.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo (Julai 8 mwaka huu) kuhusu maandalizi ya timu hiyo, Nooij amesema timu yake inafanya mazoezi kwenye maeneo ya baridi kwa sababu za kitaalamu, hivyo kambi ya Tukuyu kama ilivyokuwa ya Botswana itawasaidia kwa mechi dhidi ya Msumbiji.
Taifa Stars...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi06 Oct
Taifa Stars yaingia kambini
10 years ago
GPL![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2014/12/ma.png?width=645)
TAIFA STARS MABORESHO YAINGIA KAMBINI
10 years ago
Mwananchi03 Sep
Mbeya City yaingia kambini
10 years ago
Dewji Blog17 Apr
Ajali ya Hiace huko Tukuyu Mbeya: Abiria zaidi ya 20 wapoteza maisha, Utingo pekee anusurika
Baadhi ya miili ya walipoteza maisha kwenye ajali ya gari aina ya Hiace iliyopinduka Mtoni, ikiwa imefunikwa baada ya kuopolewa na wasamaria wema huko, eneo la Uwanja wa Ndege, Kiwira Kyela.
Na Andrew Chale wa Modewji blog
“Tuamke na Mungu, tutembee na Mungu. Hivi ndivyo tunavyoweza kusema kwa sasa kufuatia hali ya ajali za mara kwa mara zinazotokea ndani ya nchi yetu”.
Asubuhi ya leo huko Tukuyu Mkoani Mbeya imeripotiwa ajali mbaya ya Hiace iliyoua takribani watu zaidi ya 20, eneo la...
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
Stars yarejea kambini Mbeya
KIKOSI cha timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars kesho kinatarajia kwenda jijini Mbeya kuendelea kujifua kuelekea mechi ya marudiano dhidi ya Msumbiji itakayochezwa wiki mbili zijazo, mjini Maputo, Msumbiji....
10 years ago
Tanzania Daima02 Sep
Wachezaji Taifa Stars kuripoti kambini leo
TIMU ya soka ya Tanzania, Taifa Stars,’ leo inatarajiwa kuingia kambini leo kujiandaa na mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Burundi itakayopigwa Septemba 7, mjini Bujumbura, Burundi. Kwa mujibu...
9 years ago
Vijimambo14 Aug
YANGA INAVYOPIGA MATIZI HUKO TUKUYU…
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/IMG-20150813-WA0004.jpg)
Mabingwa wa kandanda Tanzania bara, Dar es salaam Young Africans wanaendelea na mazoezi mjini Tukuyu, Mbeya kujiwinda na mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Azam FC itayopigwa Agosti 22 mwaka huu uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.Wakiwa huko, Yanga tayari wamecheza mechi mbili za kirafiki ambapo ya kwanza walishinda 4-1 dhidi ya Kimondo FC.Magoli ya Wanajangwani katika mchezo huo uliopigwa uwanja wa CCM Vwawa Mbozi yalifungwa na Geofrey Mwashiuya (mawili), Simon Msuva na Amissi Tambwe.Yanga...