Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bwana Tariq na Bi. Vumi wameremeta huko jijini Mbeya

Bwana Tariq na Mkewe Bi. Vumi Yassin wakiwa katika nyuso za furaha mara baada ya kumeremeta kwao hivi karibuni huko jijini Mbeya.Bi. Harusi,Vumi Yassin akiwa na dada yake kipenzi Bi. Amina Yassin wakati wa sherehe ya ndoa iliyofanyika hivi karibuni,Jijini Mbeya.Vijana wa Madrasa wakisoma kaswida na kupiga dufu wakati wa sherehe hiyo.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Edward Mwambopo na Anitha Makundi wameremeta huko jijini mbeya

Mdau Edward Mwambopo na mai waifu wake Anitha Makundi wote wakazi wa jijini Mbeya wakiingia ukumbini kwa madaha wakati wa sherere yao ya kupongezwa na ndugu,jamaa na marafiki mara baada ya kumeremeta kwao.Sherehe hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Mkapa,Soko Matola jijini Mbeya.Mdau Edward Mwambopo akitoa neno kwa wageni waalikwa.Mdau Edward Mwambopo na mai waifu wake Anitha Makundi wakiwa na nyuso za furana na upendo tele katika Sherehe yao ya kupongezwa,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mkapa...

 

11 years ago

Michuzi

TAIFA STARS YAINGIA KAMBINI HUKO TUKUYU,JIJINI MBEYA

Wakati Taifa Stars inaingia kambini Tukuyu mkoani Mbeya kesho (Julai 9 mwaka huu), kocha Mart Nooij amesema kambi ya wiki mbili nchini Botswana imekisaidia kikosi chake kujiandaa kwa ajili ya mechi dhidi ya Msumbiji.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo (Julai 8 mwaka huu) kuhusu maandalizi ya timu hiyo, Nooij amesema timu yake inafanya mazoezi kwenye maeneo ya baridi kwa sababu za kitaalamu, hivyo kambi ya Tukuyu kama ilivyokuwa ya Botswana itawasaidia kwa mechi dhidi ya Msumbiji.
Taifa Stars...

 

11 years ago

Michuzi

WADAU ALEX NA FLORA WAMEREMETA HUKO LINDI

Ilikuwa patashika nguo chanika katika sherehe ya Harusi ya Alex Mwalwiba na Flora Japher  iliyofungwa katika kanisa la KKKT Mjini Lindi na baadaye mnuso wa nguvu  katika ukumbi wa Lindi Beach hotel.   Bwana Harusi ni Fundi mkuu wa kampuni ya Uniglobex ya mjini lindi huku Bi Harusi akiwa mwajiriwa wa Jeshi la polisi Mkoani Lindi kitengo cha Usalama barabarani Sote kwa pamoja Tunawaombea Dua katika maisha yao Mapya ya Ndoa  Picha na Abdulaziz Video Rec Ya Mjini Lindi Wadau  Alex Mwalwiba...

 

10 years ago

Michuzi

WADAU GASTO NA FEDERICA WAMEREMETA JIJINI ARUSHA

Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Gasto Leseiyo akiwa ame ‘pose’ kwa picha na Bibi harusi Federica Sikale baada ya kufunga pingu za maisha katika Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu Ngarenaro Arusha jana na kufatiwa na sherehe iliyofanyika ukumbi wa Leons Garden Sakina. Gasto Leseiyo na Mke wake Federica Sikale baada ya kufunga pingu za maisha katika Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu Ngarenaro Arusha wakiwa katika picha ya pamoja na Mama wazazi .

 

10 years ago

GPL

MRISHO NGASSA NA LADHIA WAMEREMETA JIJINI DAR

Mrisho Ngassa na mkewe Ladhia Mngazija wakiwa na nyuso za tabasamu baada ya kufunga ndoa leo.   MSHAMBULIAJI wa Taifa Stars na Yanga SC, Mrisho Ngassa leo amefunga ndoa ya pili na Ladhia Mngazija eneo la Tegeta jijini Dar es Salaam.  ...Wawili hao wakiwa wamekumbatiana baada ya…

 

9 years ago

Michuzi

WADAU ARCHBOLD NA AGNESS WAMEREMETA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

 Wadau waandamizi wa Globu ya Jamii Archbold Josaphat Kiwia na Agnes Samwel Likongo wamemeremeta leo katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam. Wadau hawa, ambao ni wafanyabishara maarufu wa mbao, hivi sasa wanaelekea hoteli ya Serena kwa mnuso wa nguvu waliouandaa. Globu ya Jamii inawatakia Archbold na Agness maisha mazuri na ya furaha! Bwana harusi amvisha pete mkewe Bi Harusi amvisha pete mumewe  Archbold akimwaga winoAgness naye anamwaga wino Wakikabidhiwa hati. Kwa mapicha...

 

10 years ago

Michuzi

WADAU JOSEPHATH TENDEWA NA FIDES ASSENGA WAMEREMETA JIJINI DAR


Maharusi Josephath Tendewa na Fides Assenga wakiwa kwenye nyuso za furaha mara baada ya kumeremeta katika kanisa la Mtakatifu Joseph na baadae kufanyika kwa tafrija ya kuwapongeza iliyofanyika kwenye ukumbi wa Urafiki Social hall,Sinza jijini Dar.
Maharusi wakiwa na wapambe wao.
KUONA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani