Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EDWARD LOWASSA NAYE APIGA KURA YAKE HUKO MONDULIlo

Mgombea Urais wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiwa na mke wake Mama Regina Lowassa wakishiriki zoezi la uchaguzi mkuu kwa kupiga kura zao leo huko Monduli mkoani Arusha.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

EDWARD LOWASSA NAYE APIGA KURA YAKE HUKO MONDULI

Mgombea Urais wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiwa na mke wake Mama Regina Lowassa wakishiriki zoezi la uchaguzi mkuu kwa kupiga kura zao leo huko Monduli mkoani Arusha.

 

9 years ago

CHADEMA Blog

MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA KUFANYA ZIARA YA KUWASHUKURU WAPIGA KURA

KUHUSU ZIARA YA MH. EDWARD LOWASSA KUSHUKURU WATANZANIA Taarifa inatolewa kwa vyombo vya habari na umma wa Watanzania kwa ujumla kuwa aliyekuwa Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Ndugu Edward Lowassa atazungumza na wananchi wa Tanga katika mkutano wa hadhara utakaofanyika mjini Tanga, siku

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI LIBERATA MULAMULA APIGA KURA YAKE DMV

 Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiwasili kwenye kituo cha kupigia kura katika uchaguzi wa DMV unaoendelea sasa hivi Wheaton, Maryland nchini Marekani hapa mhe. Liberata Mulamula akilakiwa na mgombea makamu wa Urais Bi. Salma Moshi na Bwn. Idd Sandaly, Rais wa Jumuiya ya Wtanzania anyaemariza muda wake na ambaye pia anagombea tena nafasi hiyo katika uchaguzi huo.Mhe. Libarata Mulamula akisalimiana na kampeni meneja wa mgombea wa Urais Liberatus Mwang'ombe Bi. Muna Mgombea wa Urais Liberatus...

 

9 years ago

GPL

HATIMAYE MGOMBEA URAIS TLP APIGA KURA YAKE

Mgombea urais kwa tiketi ya Tanzania Labour Party (TLP), Maximillian Lyimo. Mgombea urais kwa tiketi ya Tanzania Labour Party (TLP), Maximillian Lyimo hatimaye amepiga kura yake katika Kituo cha Njia Panda, Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro. Awali Mhe. Lyimo alishindwa kupiga kura baada ya kukosekana taarifa zake kituoni hapo. Lyimo aliyejiandikishia mkoani Dar es Salaam, jana alienda kufunga kampeni zake Jimbo la Vunjo na kulala...

 

9 years ago

Michuzi

ZITTO KABWE APIGA KURA YAKE KIGOMA MJINI

Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Mhe Zitto zuberi kabwe akiwa ndani ya vazi la kiha (impuzu) wakati akipiga kura yake leo Kigoma mjini katika kituo cha OTTU. Mhe. Zitto anagombea ubunge wa jimbo hilo

 

11 years ago

GPL

BALOZI LIBERATA MULAMULA APIGA KURA YAKE DMV‏

 Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiwasili kwenye kituo cha kupigia kura katika uchaguzi wa DMV  Wheaton, Maryland nchini Marekani hapa Mhe. Liberata Mulamula akilakiwa na mgombea makamu wa Urais Bi. Salma Moshi na Bwn. Idd Sandaly, Rais wa Jumuiya ya Watanzania anyaemaliza muda wake na ambaye pia anagombea tena nafasi hiyo. Mhe. Libarata Mulamula akisalimiana na kampeni… ...

 

10 years ago

Vijimambo

Dakika tatu na Edward Lowassa>> Urais 2015, kuhama Chama, Elimu TZ.. Afya yake na Ujumbe wake kwa CCM



Moja ya story kubwa kwenye siasa za TZ wiki iliyopita ilikuwa ishu ya CCM kuwafungulia makada wake sita ambao walikiuka kanuni za chama hicho kwa kutangaza kugombea Urais mapema kinyume na utaratibu wa chama hicho, mmoja ya waliokuwa wamefungiwa ni Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa.Jana kulikuwa na stori ya Naibu Waziri Mwigulu Nchemba kutangaza kugombea Urais wa TZ kupitia CCM.. leo Mbunge Edward Lowassa ameongea kuhusu mambo kadhaa ikiwemo hali ya afya yake,...

 

10 years ago

Michuzi

Kanusho Kutoka Ofisi ya Mbunge na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa Kuhusu Uvumi Uliozagaa Kwenye Mitandao Mbalimbali ya Kijamii Kuwa Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Edward Lowassa Kulazwa nchini Ujerumani.

 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mhe Edward LowassaMsemaji wa Waziri Mkuu Mstaafu  Mhe. Edward Lowassa,  Bw. Aboubakary Liongo---- Ofisi ya mbunge na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, jana ilikanusha vikali uvumi uliozagaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa mbunge huyo wa Monduli amelazwa nchini Ujerumani.

Taarifa zilizoenea zinaeleza kuwa Lowassa, ambaye wakati wote wa Mkutano wa 15/16 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano uliofanyika kwa wiki tatu, hakuwepo bungeni, amekuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani