Wadau wa Social Media Network Citizens wachangia madawati kwa shule ya Msingi Mjimwema
![](http://2.bp.blogspot.com/-QF11X5aS4u8/VLTxKyEndOI/AAAAAAAG9CU/FpasTlgXxSw/s72-c/unnamed%2B(7).jpg)
Siku ya tarehe 11.01.02 wadau wa "Social Media Network Citizens", ambao ni watumiaji wa mtandao wa kijamii wa Twitter walifanya awamu ya pili ya zoezi la kukabidhi madawati 241 kwa shule ya msingi ya Mjimwema iliyopo kwenye kata ya Mjimwema, Jimbo la Kigamboni.
Katika awamu ya kwanza, wadau hawa walikabidhi madawati 45. Jumla ya Tsh 30.5 millioni zimechangwa na wadau hawa na zimetumika kutengeneza madawati 286 yaliyotolewa hadi hivi sasa.
Mchango huu wa madawati umewezesha kutatua tatizo la...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo08 Oct
FNB YAKABIDHI MADARASA BAADA YA KUFANYIA UKARABATI NA MADAWATI NA MIKOBA YA SHULE KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MSASANI B
![](https://3.bp.blogspot.com/-8ODlrrxpUIo/VDRJ42tYilI/AAAAAAAAOt4/NIP3B_E-UbQ/s1600/IMG_8488fnb.jpg)
![](https://3.bp.blogspot.com/-ScVFR97yrXU/VDRKJLbdYFI/AAAAAAAAOuA/s9-IdQPPTQU/s1600/IMG_8950fnb.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-9mxzB7OsylY/VakDz26LLrI/AAAAAAAHqQs/zlsmw_7oQCA/s72-c/unnamed%2B%252887%2529.jpg)
NMB YAKABIDHI MADAWATI KWA SHULE YA MSINGI KISEKE
![](http://3.bp.blogspot.com/-9mxzB7OsylY/VakDz26LLrI/AAAAAAAHqQs/zlsmw_7oQCA/s640/unnamed%2B%252887%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-vmg5UXSut6U/VakD0GbZZoI/AAAAAAAHqQw/jUb6RDi-Xrk/s640/unnamed%2B%252888%2529.jpg)
11 years ago
Dewji Blog06 May
Uongozi wa Msitu wa Buhindi Sengerema wagawa madawati kwa shule za msingi
Afisa Elimu Msingi wilaya Sengerema Bw. Juma Mwajombe akikadhiwa madawati.
Na Daniel makaka, Sengerema.
WALIMU wakuu shule za msingi katika kata ya Bupandwa wilaya ya Sengerema mkoa wa Mwanza wameombwa kutumia vyema madawati yaliyotolewa na uongozi wa msitu wa Buhindi kwa lengo la kusaidia kutatua tatizo la madawati katika shule hizo.
Hayo yamesemwa na Afisa Elimu ya msingi wilaya ya Sengerema Bw Juma Mwajombe katika sherehe za kukabidhiwa madawati hayo iliyofanyika katika sherehe za...
10 years ago
Michuzi06 Mar
TTCL yatoa Msaada wa Madawati kwa Shule ya Msingi Bunena,Bukoba
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F4.bp.blogspot.com%2F-WSN62WQqEUw%2FVPmPBPnOroI%2FAAAAAAAAaC4%2FWsv4tDvg8_M%2Fs1600%2F5.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-HdnHP8lcGkc/VbEkd0-a6KI/AAAAAAAHrUI/TTzkE9s252Y/s72-c/unnamed%2B%252814%2529.jpg)
BENKI YA NMB YAKABIDHI MADAWATI KWA SHULE ZA MSINGI MWANZA NA MUSOMA
![](http://3.bp.blogspot.com/-HdnHP8lcGkc/VbEkd0-a6KI/AAAAAAAHrUI/TTzkE9s252Y/s640/unnamed%2B%252814%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-p3wR_W3yjhU/VbEkd_KGpUI/AAAAAAAHrUM/aYcW87wYP2w/s640/unnamed%2B%252815%2529.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-bBmz2bJgF-g/U_XUQ7JAP7I/AAAAAAAGBKE/F3Xkq_odWzU/s72-c/unnamed%2B(80).jpg)
Mamlaka ya Elimu Tanzania inatarajia kukabidhi madawati 2000 kwa shule za Msingi 10
![](http://2.bp.blogspot.com/-bBmz2bJgF-g/U_XUQ7JAP7I/AAAAAAAGBKE/F3Xkq_odWzU/s1600/unnamed%2B(80).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-qPFqQEZKfG0/U_XUQhg7WBI/AAAAAAAGBKM/DrMZCM79aSA/s1600/unnamed%2B(81).jpg)
10 years ago
MichuziBenki ya NBC yatoa msaada wa madawati kwa Shule ya Msingi Mlingotini mjini Bagamoyo
9 years ago
VijimamboBENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA MADAWATI 200 KWA SHULE YA MSINGI BUYUNI ILALA
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza katika hafla ya kukabidhi madawati 200 kwa Shule ya Msingi Buyuni iliyopo ya Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam. Madawati hayo yametolewa na Benki ya CRDB ili kukabiliana na upungufu wa madawati shuleni hapo.
10 years ago
MichuziBenki ya NBC yakabidhi msaada wa madawati kwa shule ya Msingi Maweni-Kigamboni,Jijini Dar