Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wadau wa Tanzania wakutana na Oprah winfrey nchini Marekani

Balozi wa Tanzania nchini Marekani,Mh. Liberata Mulamula na Afisa Mwandamizi wa Mambo ya Nje,Hassan Mwemeta pamoja na wadau wengine wakiwa katika picha ya pamoja na Mwanamama Oprah Winfrey kwenye hoteli ya Fairmount,nchini Marekani leo.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

OPRAH WINFREY ATIMIZA MIAKA 60

Oprah Gail Winfrey. MWIGIZAJI, mmiliki wa vyombo vya habari, mtangazaji, prodyuza kutoka nchini Marekani, Oprah Gail Winfrey leo ametimiza umri wa miaka 60. Oprah ambaye amejishindia tuzo mbalimbali kupitia kipindi chake cha 'The Oprah Winfrey Show' alizaliwa Januari 29, 1954 Mississipi nchini Marekani. Oprah ni bilionea namba moja ambaye ni Mmarekani mweusi wa karne ya 20. ...

 

10 years ago

Vijimambo

Balozi Mulamula akutana na Oprah Winfrey

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula katika picha ya pamoja na na aliyekuwa mtangazaji wa luninga ambaye sasa anamiliki kituo cha luninga chake mwenyewe  Oprah Winfrey ndani ya mgahawa uliopo hotel ya Fairmont Georgetown, Washington, DCBalozi Liberata Mulamula wakibadilishana mawili matatu na Prah Winfrey walipokutana leo siku ya Jumamosi Sept 20, 2014

 

10 years ago

Vijimambo

NEWS:DONALD TRUMP WANTS OPRAH WINFREY TO BE HIS RUNNING MATE

I am sure we have all heard  Donald Trump announcement that he was running for US President. And now he says he wants talk show legend Oprah Winfrey as his running mate. In an interview on ABC News, the billionaire businessman was asked who he would like as a running mate and he replied, "I think Oprah would be great. I'd love to have Oprah. I think we'd win easily, actually."

Lets wait and hear what Will Oprah say.

 

5 years ago

CNBC

Oprah Winfrey: After interviewing 37,000 people I learned everyone shares this 1 thing

Oprah Winfrey: After interviewing 37,000 people I learned everyone shares this 1 thing  CNBC

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Oprah Winfrey avamiwa na njemba inayodai ni mwanae wa siri wakati akirekodi kipindi cha TV

Oprah Winfrey alijikuta akivamiwa na njema inayodai kuwa ni mwanae wa siri wakati staa huyo akimaliza kurekodi kipindi cha The Late Show with Stephen Colbert hivi karibuni. Oprah, 61 alipigwa picha akijaribu kumsikiliza jamaa huyo aitwaye,Calvin Mitchell kwenye studio za kipindi hicho jijini New York October 15. The National Enquirer ndio waliomsaidia Mitchell kuonana na […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Mawaziri wa nchi tano Afrika Mashariki wakutana ubalozi wa Tanzania Washington, DC nchini Marekani

Na Mwandishi Wetu

Mkutano uliowakutanisha Mawaziri wa nchi tano za Afrika Mashariki wakiwemo Mabalozi wa nchini zao nchini Marekani ulifanyika leo siku ya Jumatano Februari 25, 2015 katika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, mkutano huo  uliohusiana na maandalizi ya kutiliana saini ya makubaliano ya ushirikiano wa kibiashara na uwekezaji kati ya nchi ya Marekani na nchi za Afrika Mashariki ambazo ni Burundi, Rwanda, Uganda, Kenya na Tanzania.

Mkutano huo uliongozwa na mwenyekiti wake Mhe....

 

10 years ago

Vijimambo

MAWAZIRI WA NCHI TANO AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON,DC NCHINI MAREKANI

Mkutano uliowakutanisha Mawaziri wa nchi tano za Afrika Mashariki wakiwemo Mabalozi wa nchini zao nchini Marekani ulifanyika leo siku ya Jumatano Februari 25, 2015 katika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, mkutano huo  uliohusiana na maandalizi ya kutiliana saini ya makubaliano ya ushirikiano wa kibiashara na uwekezaji kati ya nchi ya Marekani na nchi za Afrika Mashariki ambazo ni Burundi, Rwanda, Uganda, Kenya na Tanzania.
Mkutano huo uliongozwa na mwenyekiti wake Mhe. Harrison Mwakyembe...

 

10 years ago

GPL

MAWAZIRI WA NCHI TANO AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON,DC NCHINI MAREKANI‏

Waziri wa Afrika Mashariki Mhe. Harrison Mwakyembe ambaye alikua mwenyekiti wa mkutano wa kujiandaa kutiliana saini makubaliano ya biashara na uwekezaji wa nchi za Afrika Mashariki na Marekani. Utiliano saini huo utafanyika siku ya Alhamisi Februari 26, 2015 katika Ofisi za Wizara ya Biashara Marekani, kulia ni Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Richard Sezibera kutoka Burundi.… ...

 

11 years ago

Michuzi

Viongozi wa Barclays Africa Group wakutana na wadau nchini

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu (kushoto) akiwa na wageni wengine katika mkutano huo. Kundi la Barclays Afrika ‘the Group’, limetokana na kuunganishwa kwa Kundi la ABSA ya Afrika Kusini (ABSA Group Ltd) na sehemu kubwa ya shughuli za Benki ya Barclays barani Afrika hapo Juni 31, 2013. ABSA (sasa the Group) ikimiliki asilimia 55 ya hisa ndani ya NBC, serikali ya Tanzania asilimia 30  zinazobaki zikimilikiwa na mashirika ya fedha ya kimataifa.  Ofisa Mtendaji Mkuu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani