Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WADAU WA VUNJO WAMTAKIA HAPPY BETHDAY KAMANDA WAO INNOCENT

Naibu kamanda wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi wilaya ya moshi vijijini ambae pia anatajwa kutakiwa kuwania ubunge jimbo la vunjo Innocent Melleck shirima leo 06/02/2015 ni siku yake ya kuzaliwa. Kwa niaba ya vijana na wananchi wa jimbo la vunjo tunamtakia afya njema na Mwenyezi Mungu ambariki kuwa na umri mkubwa mara dufu.Tupo nae katika kutekeleza ndoto za maisha yake mwaka huu 2015. ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WADAU WA VUNJO WAMTAKIA HAPPY BESDEI KAMANDA WAO INNOCENT.

Naibu kamanda wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi wilaya ya Moshi vijijini ambae pia anatajwa kutakiwa kuwania ubunge jimbo la vunjo Innocent Melleck shirima leo 06/02/2015 ni siku yake ya kuzaliwa. Kwa niaba ya vijana na wananchi wa jimbo la vunjo tunamtakia afya njema na Mwenyezi Mungu ambariki kuwa na umri mkubwa mara dufu.Tupo nae katika kutekeleza ndoto za maisha yake mwaka huu 2015.

 

9 years ago

Vijimambo

INNOCENT MELLECK SHIRIMA ACHUKUA FOMU ZA UBUNGE JIMBO LA VUNJO.

Mgombea wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Vunjo, Innocent Shirima akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kufika ofisi za msimamizi wa Uchaguzi katika jimbo hilo ambaye ni mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi.Mgombea Ubunge jimbo la Vunjo ,Innocent Shirima akikabidhiwa fomu za kuwania ubunge katika jimbo la hilo na msiamizi wa Uchaguzi ,Furgence Mponji ambaye pia ni mkurugenzi wa Halmashauri hiyo.
Mgombea Ubunge wa jimbo la Vunjo kupitia chama cha Mapinduzi, Innocent...

 

9 years ago

Vijimambo

INNOCENT SHIRIMA AFANYA UZINDUZI WA KAMPENI ZA KUWANIA UBUNGE KATIKA JIMBO LA VUNJO

Mgombea Ubunge katika jimbo la Vunjo kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi, CCM ,Innocent Shirima akisalimiana na wananchi mara baada ya kuwasili katika viwanja hivyo.
Baadhi ya wanachama wa CCM wakishangilia katika uzinduzi wa kampeni za Chama hicho zilizofanyika katika uwanja wa Polisi Himo.Kada wa Chama cha Mapinduzi ,Job Lusinde akisalimiana na kada mwenzake ,Novatus Makunga ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Moshi.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro,Juma Idd akizungumza...

 

10 years ago

Michuzi

MREMA AENDELEA KUANDAMWA VUNJO,WANANCHI WACHANGA PESA KUMCHUKULIA FOMU INNOCENT MELLECKY WA CCM


Inocent Melleck akizungumza na baadhi ya wananchi waliojitokeza kumchangia fedha kwa ajili ya kuchukulia fomu za kuwania Ubunge katika jimbo la Vunjo.
Innocent Melleck akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wananchi hao waliojitokeza kumchangi fedha kwa ajili ya kugombea Ubunge katika jimbo la Vunjo.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
MBUNGE wa jimbo la Vunjo,Agustino Mrema(TLP) ameendelea kupata upinzani katika Jimbo lake baada ya baadhi ya wananchi kujitokeza...

 

11 years ago

Michuzi

INNOCENT MELLECK ASIMKWA KUWA NAIBU KAMANDA WA UVCCM WILAYA YA MOSHI VIJIJINI

Innocent Melleck akikaribishwa na chipukizi katika uwanja wa Ghala -Himo wilaya ya Moshi vijijini kwa ajili ya kusimikwa kuwa naibu kamanda wa UVCCM katika wilaya hiyo. Mbunge wa jimbo la Moshi vijijini Dk Cyril Chami (katikati) Innocent Melleck ,Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Moshi vijijini Moris Makoi na viongozi wengine wa CCM wakipunga mkono kwa wananchi (hawapo pichani) wakati wa shughuli ya kumsimika naibu kamanda wa UVCCM wilaya ya Moshi vijijini. Mbunge wa jimbo la Moshi...

 

9 years ago

Vijimambo

HAPPY BIRTHDAY KAMANDA RAS MAKUNJA

Siku kama ya leo 19 September ndio siku ya kuzaliwa mkuu wa bendi ya Ngoma Africa aka FFU ya kule ujerumani, mwanamuziki Ebrahim Makunja aka kamanda Ras Makunja aka mkuu wa viumbe wa ajabu "Anunnaki Alien" alizaliwa mjini Dar-es-Salaam,akiwa mtoto wa kwanza wa kiume wa Bw.Jumanne Saleh Makunja Ngayonga (RIP) na Bi.Moza Hassan Seifu Mpili (Mama Makunja),Mwanamuziki Kamanda Ras Makunja mtunzi na mwimbaji mahili wa muziki wa dansi leo ndio Happy Birthday !!!!! yakepia unaweza kuburudika na...

 

10 years ago

Michuzi

MAKATIBU WA CCM VUNJO WASEMA HAWANA UGOMVI NA KATIBU WAO WA WILAYA

Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi Moshi vijijini  ,Hussein Jamal akizungumza wakati wa kikao cha makatibu kata na makatibu wa matawi kilichofanyika katika hotel ya King Size Himo.Mwenyekiti wa Makatibu katika jimbo la Vunjo ,Shaban Mwangi akisoma taarifa ambayo inadaiwa kupikwa kwa lengo la kukivuruga chama hicho katika jimbo la Vunjo.Katibu wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Moshi vijijini Miriam Kaaya akizungumza wakati wa kikao hicho ambacho kilijadili pia tuhuma zilizotolewa dhidi yake.Naibu...

 

9 years ago

Michuzi

HAPPY BIRTHDAY KAMANDA RAS MAKUNJA WA FFU UGHAIBUNI

Leo 19 September ndio siku ya kuzaliwa mkuu wa bendi ya Ngoma Africa aka FFU-Ughaibuni  ya kule ujerumani, mwanamuziki Ebrahim Makunja aka kamanda Ras Makunja aka mkuu wa viumbe wa ajabu "Anunnaki Alien" alizaliwa mjini Dar-es-Salaam.
Akiwa mtoto wa kwanza wa kiume wa Bw.Jumanne Saleh Makunja Ngayonga (RIP) na Bi.Moza Hassan Seifu Mpili (Mama Makunja), Mwanamuziki Kamanda Ras Makunja ni mtunzi na mwimbaji  mahili wa muziki wa dansi leo ndio Happy Birthday  yake.
Unaweza kuburudika na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani