Waenda kujifunza athari za vita Sudan
CCM, ambayo inaratibu mazungumzo ya amani ya Sudan Kusini, itapeleka waandishi wa habari nchini humo ili kuona athari za vita.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili28 Dec
Ni vigumu kusitishwa vita Sudan K.
Msemaji wa Jeshi amesema kuna matumaini madogo ya kusitishwa kwa mapigano nchini Sudan Kusini kwa sasa.
9 years ago
BBCSwahili29 Aug
Usitishwaji vita watangazwa Sudan.K
Kiongozi wa waasi nchini Sudan Kusini Riek Machar ametangaza usitishwaji vita wa kudumu kuanzia usiku wa manane hii leo Jumamosi
11 years ago
BBCSwahili02 Jan
UN: Vita visitishwe Sudan Kusini
Mkuu wa vikosi vya kulinda amani vya UN, Sudan Kusini, ametoa wito wa kusitishwa kwa mapigano nchini humo.
11 years ago
BBCSwahili03 Jan
Sudan Kusini itakubali kusitisha vita?
Mazungumzo ya kusitisha vita ambavyo vimekuwa vikitokota Sudan Kusini kwa karibu wiki tatu yameanza mjini Addis Ababa Ethiopia.
10 years ago
BBCSwahili31 Oct
Sudan K:Vita vyaathiri afya ya akili
Mapigano Sudan Kusini, yamesababisha raia wengi wa taifa hilo kupata magonjwa ya akili.
11 years ago
BBCSwahili22 Dec
11 years ago
BBCSwahili18 Feb
Vita vyazuka tena Malakal, Sudan.K
Mapigano yameripotiwa kuzuka Sudan Kusini kwa mara ya kwanza tangu serikali na waasi kutia saini makubaliano ya kusitisha vita mwezi Januari.
11 years ago
BBCSwahili10 May
Wakubaliana kusitisha vita Sudan Kusini
Rais wa Sudan kusini Salva Kiir na kiongozi wa waasi nchini humo Riek Machar waingia katika mkataba wa kustisha vita.
11 years ago
BBCSwahili09 Jan
Maelfu wakimbia vita Sudan Kusini
Takriban Watu 1,000 wameuawa katika mapigano nchini humo na takriban wengine 200,000 wakikimbia mapigano kati ya Jamii ya Dinka na Nuer.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania