‘Wafanyabiashara lipeni kodi kwa wakati’
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kigoda, amewataka wafanyabiashara nchini kulipa kodi kwa wakati. Dk. Kigoda alitoa wito huo mwishoni mwa wiki wakati wa ufungunzi wa ukumbi wa mikutano...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-FQrShTrzfDY/Xuiv72wdj9I/AAAAAAALuBE/Tv6J3uJg8Hs46myF26Sc1SG21DZNoABQACLcBGAsYHQ/s72-c/PICHA%2B1.jpg)
RC MONGELLA AWATAKA WAFANYABIASHARA KULIPA KODI KWA WAKATI
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella amewataka wafanyabiashara kutumia fursa ya kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayoendelea mkoani hapa kulipa kodi kwa wakati ili kuiwezesha Serikali kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo huku wafanyabiashara hao wakiishukuru Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa zoezi hilo ambalo linawaleta karibu walipakodi na wakusanya kodi.
Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kampeni hiyo ambayo imeanza June 15 hadi 22 mwaka...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-a2AmfGQwHa8/VQwb5XCk48I/AAAAAAAAGo0/O4V4DkqAN-U/s72-c/IMG_5477.jpg)
WAFANYABIASHARA MANISPAA YA SUMBAWANGA WALALAMIKIA KODI MBALIMBALI SERIKALINI, MKUU WA MKOA WA RUKWA AWATAKA KUWA WAZALENDO KULIPA KODI KWA HIARI KUJENGA NCHI YAO
![](http://2.bp.blogspot.com/-a2AmfGQwHa8/VQwb5XCk48I/AAAAAAAAGo0/O4V4DkqAN-U/s1600/IMG_5477.jpg)
5 years ago
MichuziWAFANYABIASHARA WAISHUKURU TRA KWA KUWAELIMISHA MASUALA YA KODI
Wafanyabiashara wa Tabata jijini Dar es Salaam wameishukuru Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kuwaelimisha masuala mbalimbali yanayohusu kodi na kusema kuwa, elimu hiyo itawasaidia kuongeza uhiari wa kulipa kodi kwa ajili ya maendeleo ya nchi.
Wakizungumza wakati wa kampeni ya elimu kwa mlipakodi inayofanyika jijini hapa, wafanyabiashara hao wamesema kwamba kitendo cha TRA kuwatembelea katika maduka yao na kutoa elimu ya kodi kutaongeza ari ya kulipa...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/ecV5BTnmMcQ/default.jpg)
RAIS MAGUFULI ATOA SIKU 7 KWA WAFANYABIASHARA WANAOKWEPA KULIPA KODI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-U6nqs6wL0aw/XmnOcESjz7I/AAAAAAAAGu0/buBr_a3MDAwhYI1RyRbPXxYbVbvKytjrgCLcBGAsYHQ/s72-c/58cb99e0-2500-4061-9177-d515a3bbcefd.jpg)
WAFANYABIASHARA MPAKA WA KASUMULU WAIPONGEZA TRA KWA KUWAPA ELIMU YA KODI
Wafanyabiashara katika mpaka wa Kasumulu unaotenganisha nchi za Tanzania na Malawi uliopo wilaya ya Kyela mkoa wa Mbeya wameipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kutoa elimu ya Kodi ambayo inawaongezea uelewa wa masuala ya Kodi na ari ya kuilipa kwa hiari.
Hayo yameyasemwa na wafanyabiashara wa mpaka wa Kasumulu mara baada ya kutembelewa katika b8ashara zao na kupewa elimu ya ulipaji kodi na maofisa wa TRA wanaofanya kampeni maalumu ya elimu ya Kodi ya mkoa...
9 years ago
StarTV04 Dec
Rais Magufuli atoa siku saba kwa wafanyabiashara wakwepaji kodi
Rais John Magufuli ametoa siku saba kwa wafanyabiashara waliokuwa wamekwepa kulipa kodi kwa namna yoyote ile kuhakikisha wamelipa malimbikizo yao ndani ya siku hizo badala ya kuendelea kuficha makontena.
Amesema baada ya siku hizo saba kuisha, wafanyabiashara watakaokamatwa hawajalipa kodi kwa mujibu wa taratibu watachukuliwa hatua za kisheria ili kukomesha vitendo hivyo kwa manufaa ya Taifa.
Rais wa awamu ya Tano, Dkt John Magufuli ametoa wito kwa wafanyabiashara kutoka sekta binafsi na...
5 years ago
MichuziCORONA YASABABISHA WAFANYABIASHARA KUCHELEWA KUAGIZA SUKARI KWA WAKATI, SERIKALI YAINGILIA KATI YATATUA CHANGAMOTO HIYO - WAZIRI BASHUNGWA
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma
Serikali imewahakikishia watanzania kuwa hakuna upungufu wa sukari Tanzania hivyo wananchi hawapaswi kuwa na wasiwasi wa aina yoyote ile.
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Innocent Bashungwa (Mb) ameyasema hayo Jijini Dodoma leo tarehe 16 Aprili 2020 wakati akitoa...
9 years ago
Mwananchi16 Dec
Wafanyabiashara wabanwa walipe kodi
10 years ago
Mwananchi24 Mar
Kodi za mabango zawakera wafanyabiashara