Wafanyabiashara walia na ushuru
USHURU wa mabango na kodi nyingine zinazotozwa kwa wafanyabiashara wa mji wa Mailimoja zimeelezwa kuwa ni changamoto kubwa kwa wafanyabiashara. Akizungumza wakati akikabidhi zawadi mbalimbali kwa wateja walionunua simu kwenye...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi01 Apr
Wafanyabiashara Mwika walalamikia ushuru magari
10 years ago
StarTV26 Jan
Wafanyabiashara Mutukula walalamikia viwango vya ushuru
Na Mariam Emily,
Bukoba.
Wafanyabiashara na wajasiriamali wadogo mkoani Kagera wameiomba Mamlaka ya Mapato nchini TRA kuweka kiwango cha ushuru kinachoeleweka ili kuwaondolea adha wanayoipata katika mpaka wa Mutukula pindi wanapotoa bidhaa zao nchi jirani ya Uganda.
Malalamiko hayo yametolewa na wafanyabiashara hao katika kikao cha pamoja baina yao na maafisa waandamizi kutoka Wizara ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki kilichofanyika mjini Bukoba.
Kikao cha pamoja baina ya wadau wa...
11 years ago
Mwananchi22 Apr
Wafanyabiashara walia na vikwazo
9 years ago
Mwananchi26 Aug
Wafanyabiashara walia na soko
10 years ago
Mwananchi24 Jul
Wafanyabiashara walia na Tanesco
11 years ago
Tanzania Daima03 Jun
Wafanyabiashara Mwenge walia kituo kuhama
WAFANYABIASHARA wa eneo la Kituo cha Daladala Mwenge, Dar es Salaam, wameilalamikia serikali kwa kuhamisha kituo hicho na kukipeleka Makumbusho kwa kuwa sasa biashara zao zimedorora. Wakizungumza na Tanzania Daima...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
Wafanyabiashara wa matunda walia na miundombinu mibovu
MATUNDA ni lishe muhimu kwa binadamu, lakini yanahitaji uhifadhi mzuri kabla ya kuliwa. Kwa mfanyabiashara, matundani mali ingawa kuoza ni rahisi. Yakiwa mabichi yanaweza kuuzwa kwa bei nzuri, lakini yakishaanza...
9 years ago
Mwananchi25 Dec
Wafanyabiashara K’koo walia, TRA yawajibu
11 years ago
Tanzania Daima04 Mar
Wafanyabiashara walia nyanya kupanda bei
NYANYA ni tunda au mboga? Mkanganyiko huo umeibuka kwa sababu ya tofauti ya matumizi kati ya wanasayansi na wapishi. Wanasayansi wanasema nyanya ni tunda. Kwa hapa nchini, nyanya hutumika kwenye...