Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyabiashara Mutukula walalamikia viwango vya ushuru

Na Mariam Emily,

Bukoba.

Wafanyabiashara na wajasiriamali wadogo mkoani Kagera wameiomba Mamlaka ya Mapato nchini TRA kuweka kiwango cha ushuru kinachoeleweka ili kuwaondolea adha wanayoipata katika mpaka wa Mutukula pindi wanapotoa bidhaa zao nchi jirani ya Uganda.

Malalamiko hayo yametolewa na wafanyabiashara hao katika kikao cha pamoja baina yao na maafisa waandamizi kutoka Wizara ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki kilichofanyika mjini Bukoba.

Kikao cha pamoja baina ya wadau wa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wafanyabiashara Mwika walalamikia ushuru magari

Wafanyabiashara wa mazao ya ndizi na maparachichi katika Soko la Mwika lililopo Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro wamelalamikia ongezeko la ushuru wa magari makubwa katika soko hilo.

 

5 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA VIFAA VYA UMEME DAR WALALAMIKIA NYAYA ZISIZO NA UBORA,WAIOMBA TBS KUFANYA MSAKO


Na Mwandishi Wetu
BAADHI ya wafanyabiashara ya kuuza vifaa vya umeme vya aina mbalimbali katika Jiji la Dar es Salaam wamelalamikia uwepo wa vifaa hivyo na hasa nyaya ambazo ziko chini ya kiwango na ubora ambazo zinatengenezwa na baadhi ya viwanda vilivyopo nchini, hivyo wametoa ombi kwa Serikali kupitia Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na tume ya ushindani (FCC) kufanya msako viwandani na madukani ili kubaini.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti katika maeneo ya Kariakoo jijini Dar es Salaam,...

 

9 years ago

StarTV

Uendeshaji Kilimo Cha Tumbaku Wakulima walalamikia makato ya ushuru

Wakulima wa zao la tumbaku nchini, wamelalamikia serikali juu ya makato makubwa  ya ushuru wanaokwata katika zao hilo, lakini mwisho wa siku hakuna fedha zinazorudishwa katika kuwasaidia wakulima hao hatua inayowafanya kuendesha kilimo hicho kwa shida.

 

Wakulima hao wamesema bado  kuna matatizo mengi yanayowakabili na serikali haijaamua kuyafanyia kazi, ikiwemo suala la makampuni yanayonunua zao hilo, kuwakata kilo za tumbaku, ambazo huwa tofauti na wanazokubaliana kununua.

 

Zao la tumbaku...

 

10 years ago

Habarileo

Wakwepa kodi walalamikia uwingi na viwango

BAADHI ya wafanyabiashara wanaokwepa kulipa kodi, wamedai moja ya sababu inayofanya wao kushindwa kutimiza wajibu wao, ni uwepo wa viwango vya juu vya malipo ambavyo pia ni vingi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafanyabiashara walia na ushuru

USHURU wa mabango na kodi nyingine zinazotozwa kwa wafanyabiashara wa mji wa Mailimoja zimeelezwa kuwa ni changamoto kubwa kwa wafanyabiashara. Akizungumza wakati akikabidhi zawadi mbalimbali kwa wateja walionunua simu kwenye...

 

9 years ago

Habarileo

Wafanyabiashara walalamikia uchakavu wa soko

WAFANYABIASHARA wa soko kuu la wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi wamelalamikia uchakavu wa majengo ya soko hilo, na kuiomba halmashauri hiyo kufanya ukarabati.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafanyabiashara wa Kichina kulinda viwango

CHAMA cha Wafanyabiashara kutoka China wanaofanya shughuli zao chini ya mwamvuli wa Kariakoo Chinese Chamber of Commerce (KCCC) kimetoa ahadi ya kulinda viwango vya ubora wa bidhaa zisambazazwo na wanachama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani