Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyakazi Hospitali ya Regency wagoma

BAADHI ya wafanyakazi wa vitengo mbalimbali katika Hospitali ya Regency jijini Dar es Salaam jana waligoma kufanya kazi wakilalamikia kutopandishwa mishahara kwa muda mrefu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Safisha Jiji yaathiri Hospitali ya Regency

MWENYEKITI wa Hospitali ya Regency, Dar es Salaam, Dk. Rajni Kanabar, amesikitishwa na kitendo cha wafanyakazi wa Manispaa ya Ilala kuharibu miundombinu ya umeme na internet katika tawi la hospitali...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF YAKAMATA WATU WANAOTUMIA KADI ZA BIMA YA AFYA KINYUME NA UTARATIBU KATIKA HOSPITALI YA REGENCY

1 Bw. Julius Mziray mkaguzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) akizungumza na waandishi wa habari katika hospitali ya Regency ya jijini Dar es salaam. Baada ya kumkamata mtu mmoja anayetuhumiwa kutumia kadi ya bima ya afya yenye namba 02-HCTP1801 ambayo inamilikiwa na Bw. Terry J. Maona kinyume na utaratibu.
Mtu huyo alikamatwa jana katika hospitali hiyo wakati akitaka kufanya vipimo vya (CityScan), ndipo mmoja wa wafanyakazi wa hospitali hiyo alipogundua na kupiga simu makao...

 

10 years ago

GPL

NHIF YAKAMATA WATU WANAOTUMIA KADI ZA BIMA YA AFYA KINYUME NA UTARATIBU KATIKA HOSPITALI YA REGENCY‏

Bw. Julius Mziray mkaguzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) akizungumza na waandishi wa habari katika hospitali ya Regency ya jijini Dar es salaam. Baada ya kumkamata mtu mmoja anayetuhumiwa kutumia kadi ya bima ya afya yenye namba 02-HCTP1801 ambayo inamilikiwa na Bw. Terry J. Maona kinyume na utaratibu , Mtu huyo alikamatwa jana katika hospitali hiyo wakati akitaka kufanya vipimo vya (CityScan), ndipo mmoja wa...

 

11 years ago

GPL

WAFANYAKAZI STRABAG WAGOMA:

Wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi ya Strabag inayojenga barabara zitakazotumiwa na mabasi yaendayo kasi jijini Dar es Salaam (Dart), wamegoma kufanya kazi wakishinikiza kuongezewa maslahi.

 

11 years ago

Habarileo

Wafanyakazi TAZARA wagoma

WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) wamegoma kufanya kazi kwa kushinikiza kulipwa mishahara yao ya miezi mitatu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafanyakazi Shoprite wagoma

ZAIDI ya wafanyakazi 100 wa maduka ya Shoprite jijini Dar es Salaam wamegoma baada ya mmiliki wa maduka hayo kushindwa kuwalipa malimbikizo ya fedha zao tangu mwaka 2008 hadi sasa....

 

9 years ago

Mwananchi

Wafanyakazi Uchumi Supermarket wagoma

Wafanyakazi zaidi ya 400 wa Uchumi Super Market jijini hapa jana, waligoma kufanya kazi wakitaka kujua hatima ya mishahara na ajira zao baada ya kusikia tetesi kuwa itafungwa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wafanyakazi wagoma Afrika Kusini

Wanachama hao wanataka mishahara kuongezwa maradufu kufuatia mfumuko wa bei nchini humo.

 

10 years ago

Vijimambo

WAFANYAKAZI DARAJA LA KIGAMBONI WAGOMA

Wafanyakazi wa Kampuni ya China Major Bridge Engineering Co. ltd wamegoma kuendelea na ujenzi wa daraja la Kigamboni, wakiushinikiza uongozi kuwalipa madai yao. Miongoni mwa mambo wanayodai ni malipo ya mshahara wa kima cha chini cha Sh. 325,000 kilichotangazwa na serikali pamoja na kuwapatia mikabata ya kazi.

Khamis Mpili, alisema tangu mradi wa ujenzi huo uanze kuna wafanyakazi hawajapatiwa mikataba ya kazi, hali inayosababisha kukosa haki zao za msingi zikiwamo malipo ya likizo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani