Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAFANYAKAZI DARAJA LA KIGAMBONI WAGOMA

Wafanyakazi wa Kampuni ya China Major Bridge Engineering Co. ltd wamegoma kuendelea na ujenzi wa daraja la Kigamboni, wakiushinikiza uongozi kuwalipa madai yao. Miongoni mwa mambo wanayodai ni malipo ya mshahara wa kima cha chini cha Sh. 325,000 kilichotangazwa na serikali pamoja na kuwapatia mikabata ya kazi.

Khamis Mpili, alisema tangu mradi wa ujenzi huo uanze kuna wafanyakazi hawajapatiwa mikataba ya kazi, hali inayosababisha kukosa haki zao za msingi zikiwamo malipo ya likizo,...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MSANGAMKUU (MV. MTWARA), DARAJA LA KIGAMBONI PAMOJA NA UKARABATI WA KIVUKO CHA MV. KIGAMBONI

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli leo amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Kigamboni ambalo ujenzi wake utakamilka ifikapo Juni mwaka 2015.
Awali, Dkt.Magufuli alianza kwa kukagua ujenzi wa kivuko kipya cha Msanga Mkuu maeneo ya Kurasini, kivuko hiki kinajengwa na mkandarasi mzalendo na kitakamilika ndani ya kipindi cha miezi miwili.
Aidha, Waziri wa Ujenzi amefanya ukaguzi wa ukarabati wa matengenezo makubwa ya kivuko cha MV.Kigamboni huko Kigamboni, ukarabati...

 

11 years ago

Mwananchi

Magufuli ahimiza Daraja Kigamboni

>Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli amewataka watendaji na wakandarasi wanaojenga Daraja la Kigamboni, kuhakikisha wanakamilisha ujenzi huo kabla ya Juni mwakani.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Daraja Kigamboni kukamilika mwakani

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amesema kuwa daraja la Kigamboni linatarajiwa kukamilika Julai Mwakani. Akizungumza mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam, kwenye ziara ya ukaguzi wa miradi inayosimamiwa na Mfuko...

 

10 years ago

Habarileo

Daraja la Kigamboni kukamilika Desemba

UJENZI wa daraja linalounganisha Kigamboni na Dar es Salaam unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu.

 

11 years ago

Mwananchi

Daraja Kigamboni neema au balaa?

Pembezoni mwa Makao Makuu ya Baraza la Maaskofu Tanzania (Tec), ujenzi unaendelea wa barabara na daraja la kuunganisha Mji wa Kigamboni na Jiji la Dar es Salaam, eneo la Mkondo wa Kurasini. Ujenzi huo unafanywa na kampuni mbili kutoka nchini China.

 

11 years ago

Michuzi

Taswira ya ujenzi wa daraja la kigamboni

Maendeleo ya ujenzi wa daraja la Kigamboni katika mkondo wa Kurasini (Kurasini Creek) ulioanza mwaka juzi na kutegemewa kukamilika baadaye mwaka huu. Mradi huu wa daraja la kuning'inia, uliobuniwa na kampuni ya Arab Consulting Engineers na kujengwa na wakandarasi kampuni za China Railway Jiangchang Engineering (T) Ltd na China Major Bridge Engineering Company , unamilikiwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF)  kwa asilimia 60 na Serikali asilimia 40, kwa gharama ya dola 136 za...

 

11 years ago

Michuzi

Maendeleo ya ujenzi wa daraja la Kigamboni

Mafundi wa Kampuni ya ujenzi wa daraja la Kigamboni wakisuka nondo katika moja ya nguzo zitakazoshika daraja hilo




Meneja wa Mradi wa ujenzi wa daraja la Kigambonio Bw. Lin Tao kutoka kampuni ya China Railway Construction Engineering Group and Major Bridge Co. Ltd (CRCEG-MBEC JV) akionesha jinsi ambavyo daraja la kigamboni litakavyoonekana baada ya kukamilika. Kulia kwake ni Mratibu wa Mradi kutoka Wizara ya Miundombini Bw. Hussein Mativila. Daraja hilo kutoka Kurasini mpaka...

 

10 years ago

Habarileo

JK aagiza changamoto daraja Kigamboni ziishe

RAIS Jakaya Kikwete ametembelea daraja la Kigamboni, Dar es Salaam, jana, na kuagiza changamoto zilizoainishwa zitatuliwe haraka kabla mradi haujamalizika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani