Wafanyakazi TBL washerehekea mafanikio ya kampuni
Baadhi ya wafanyakazi wa TBL Dar es Salaam katika picha ya pamoja wameshikilia kombe la ushindi.
Ofisa Mipango wa Kampuni ya TBL Group kutoka Dar es Salaam, Tumaini Moses akiwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya akiwa na Kombe la tuzo ya Mwajiri bora 2015 ambayo kampuni hiyo ilishinda hivi karibuni.Hafla yakupokea kombe ilifanyika mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya wafanyakazi wa TBL wa Mbeya katika picha ya pamoja wameshikilia kombe la ushindi.
Baadhi ya wafanyakazi wa TBL...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog01 May
Wafanyakazi wa wizara ya uchukuzi washerehekea vema siku ya wafanyakazi Duniani jijini Dar
Sehemu ya wafanyakazi wa wizara ya Uchukuzi, wakiwa wamejipanga tayari kwa ajili ya kushiriki katika maandamano ya siku ya wafanyakazi Duniani yaliyofanyika Kitaifa Jijini Dar es Salaam, katika Uwanja Wa Taifa, jijini Dar es Salaam leo Asubuhi.
Sehemu ya Wafanyakazi wa Wizara ya Uchukuzi, wakikimbia katika maandamano ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliyofanyika Kitaifa Jijini Dar es Salaam, katika Uwanja Wa Taifa,jijini Dar es Salaam leo Asubuhi.
Wafanyakazi wa Wizara ya Uchukuzi wakitoa...
10 years ago
MichuziWAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB WASHEREHEKEA SIKU YA FAMILIA
9 years ago
Michuzi30 Nov
Wafanyakazi Benki ya NMB washerehekea 'Family Day'
9 years ago
MichuziCoventry Muslim Swahili Association (COMSWA) washerehekea Eid el Hajj kwa mafanikio makubwa.
10 years ago
GPLWAFANYAKAZI WA BENKI YA CBA WASHEREHEKEA PASAKA NA WATOTO YATIMA
10 years ago
GPLWAFANYAKAZI WA GLOBAL WASHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA MWENZAO, MARTHA MBOMA
10 years ago
GPLMAWAKALA NA WAUZA MAGAZETI WASHEREHEKEA MIAKA 17 YA KAMPUNI YA GLOBAL PUBLISHERS
10 years ago
MichuziWAKULIMA WA SHAYIRI MONDULI WAELEZEA MAFANIKIO YAO KWA TBL
Baadhi ya Wanawake wanaojishughulisha na kilimo cha Shayiri wakiwa katika picha ya pamoja na Ofisa wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Editha anayesimamia wakulima katika eneo hilo la Monduli Juu, wilayani Monduli mkoani Arusha.
Mkulima wa Shayiri wilayani Monduli Meporoo Losulu akionesha Trekta...
10 years ago
Michuzi07 Nov
WALIOWEZESHWA NA TBL KUPITIA PROMOSHENI YA SAFARI LAGER WEZESHWA WAPATA MAFANIKIO MAKUBWA