Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA UJENZI WA BARABARA YA MAGARI YAENDAYO KASI WAGOMA

Mwandishi wa Globaltv Online, Patrick Buzohera akiwa mbele ya ofisi ya Meneja mkuu wa kampuni hiyo akijaribu kuzungumza naye, lakini alishuhudia ofisi hiyo ikifungwa mlango na madirisha kabla hajafanya chochote.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UJENZI BARABARA YA KAWAWA KWA MAGARI YAENDAYO KASI DAR

Tingatinga likiweka mabomba ya maji pembezoni mwa barabara ya Kawawa ambayo inapitiwa na ujenzi wa barabara maalum ya magari yaendayo kasi jijini Dar es Salaam katika Barabara ya Morogoro.    Mafundi wakiwa kazini kuhakikisha kazi inakwenda vyema.
(Picha/ Chande…

 

10 years ago

GPL

TASWIRA YA UJENZI WA BARABARA YA MABASI YAENDAYO KASI

Ujenzi wa barabara hiyo ukiendelea. Kamera yetu leo imepita maeneo mbalimbali ya Kinondoni barabara ya Kawawa, na kujionea namna ambavyo ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi unavyoendelea. Gabriel…

 

9 years ago

Mtanzania

Barabara ya mabasi yaendayo kasi yaanza kuwekwa viraka

asteria-may20-2014(1)Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam

HUKU ikiwa bado haijaanza kutumika, barabara ya Mradi wa Mabasi yaendayo Kasi (Dart), imeanza kuwekwa viraka, hali ambayo imesababisha msongamano wa magari katika barabara za Morogoro, Mandela na Samnujoma, jijini Dar es Salaam.

Viraka hivyo vimeanza kuwekwa kwenye barabara hiyo eneo la Ubungo  ambalo linaunganisha barabara hizo zilizokumbwa na misururu mirefu ya magari jana.

Mradi huo ulitakiwa kukabidhiwa tangu Oktoba mwaka huu  ili mabasi hayo yaweze...

 

11 years ago

Michuzi

DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKAGUA BARABARA YA MWENGE-TEGETA, MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (BRT) PAMOJA MIRADI YA UJENZI WA BARABARA ZA JUU TAZARA FLYOVER NA MAKUTANO YA BARABARA ZA JUU UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katikati akiwa na Balozi wa Japan Nchini Masaki Okada kulia wakipita juu ya Daraja la Lugalo mara baada ya kulikagua katika ziara ya Ukaguzi wa Barabara ya Mwenge Tegeta jijini Dar es salaam leo.

 Balozi wa Japan nchini Ndugu Masaki Okada akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Said Meck Sadick wakipanda ngazi za daraja la juu la watembea kwa miguu flyover Ubungo...

 

10 years ago

GPL

UJENZI STENDI YA MABASI YAENDAYO KASI WAENDELEA

Ujenzi wa stendi ya mabasi yaendayo kasi ukiendelea eneo la Kariakoo. Mafundi wakiwa kazini. Taswira ya eneo hilo.…

 

11 years ago

Michuzi

Mkandarasi wa mradi wa barabara ya mabasi yaendayo haraka aruhusu maeneo ya kugeuzia magari

 Sehemu ya barabara ya Morogoro road maeneo ya Kimara
KAMPUNI ya ujenzi wa barabara ya STRABAG  inayoendelea na ujenzi kwa ajili  ya mradi wa mabasi yaendayo haraka umeruhusu upande mmoja wa barabara uliokamilika kutumika ili kupunguza foleni  ya magari yanayoka Kimara kuelekea katikati ya jiji au sehemu nyingine kupitia  barabara ya Morogoro.  


Mhandisi wa Wakala wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (DART),Mhandisi John Shauri aliwaambia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwishoni...

 

9 years ago

StarTV

Wafanyakazi wa Kampuni ya Organia wagoma

Wafanyakazi wa Kampuni ya Organia iliyopo Kibaha Mkoani Pwani wamegoma kuingia kazini kwa zaidi ya saa 7 kwa madai ya kutopatiwa mikataba ya kazi, kunyanyaswa na muwekezaji, mishahara midogo tofauti na kazi wanazofanya na kukosekana kwa huduma ya choo hali inayohatarisha afya zao kutokana na kujisaidia porini. Hali hiyo imesababisha uongozi wa mkoa wa Pwani kufika katika kampuni hiyo na kukutana na viongozi wa wafanyakazi na muwekezaji wa mradi huo na baada ya mazungumzo viongozi wa kampuni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani