Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyakazi wa majumbani wakumbukwa

 Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk Makongoro MahangaSERIKALI imesema inatarajia kuwasilisha bungeni mkataba namba 189 unaohusu kazi zenye staha kwa wafanyakazi wa majumbani ili uweze kuridhiwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wafanyakazi wakumbukwa

Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum.SERIKALI imeendelea kuwapa ahueni wafanyakazi nchini baada ya kupunguza kiwango cha Kodi ya Mishahara (PAYE) kutoka asilimia 12 katika mwaka wa fedha uliopita hadi asilimia 11.

 

9 years ago

Habarileo

Ahimiza wadau kuepusha madhara kwa wafanyakazi wa majumbani

KAMISHNA wa Kazi, visiwani hapa, Ali Ibaraja amesema ipo haja ya wadau wa kazi kushirikiana ili kuepusha kutokea kwa madhara mbalimbali yanayowapata wafanyakazi wa majumbani.

 

10 years ago

GPL

WASICHANA ZAIDI YA 200 WALIOTEKWA NIGERIA WAKUMBUKWA BAADA YA MWAKA 1

Wasichana zaidi ya 200 waliotekwa na Boko Haram mwaka jana. MAADHIMISHO ya mwaka mmoja tangu wasichana zaidi ya 200 kutekwa na Kundi la Boko Haram huko Chibok, kaskazini mashariki mwa Nigeria yanafanyika leo Nigeria. Wananchi wakiandamana kutaka kurudishwa kwa wasichana zaidi ya 200 waliotekwa na Boko Haram mwaka jana. Wasichana zaidi ya 200 walitekwa Aprili 14, mwaka jana na kuitikisa dunia huku baadhi ya mataifa kama Marekani...

 

11 years ago

Habarileo

50% ya wanawake wanajifungulia majumbani

KATIBU Mkuu Wizara ya Afya, Dk Mohamed Saleh Jidawi amesema asilimia 50 ya wanawake wajawazito bado wanajifungulia majumbani na kuhatarisha maisha yao.

 

11 years ago

BBCSwahili

Google yaingia majumbani

Kampuni ya Google imetoa kiasi cha dola billion 3 nukta mbili kwa kampuni ya Nest ambayo imekuwa ikitengeneza vifaa vya majumbani.

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA CHUO CHA UTALII NCHINI WAUNDA BARAZA LA WAFANYAKAZI.


Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasiliamaliwatu(DHRN) wa Wizara ya Maliasili na Utalii,Said Msambachi akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Chuo cha Utalii Tanzania, uliofanyika katika Kampasi ya Temeke jijini Dar es Salaam leo kwa niaba ya Katibu mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Adelhe Meru.  Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utalii Kampasi ya Bustani,  Rosada Musoma akizungumza katika ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Chuo cha...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wafanyakazi wa wizara ya uchukuzi washerehekea vema siku ya wafanyakazi Duniani jijini Dar

DSC_0566

Sehemu ya wafanyakazi wa wizara ya Uchukuzi, wakiwa wamejipanga tayari kwa ajili ya kushiriki katika maandamano ya siku ya wafanyakazi Duniani yaliyofanyika Kitaifa Jijini Dar es Salaam, katika Uwanja Wa Taifa, jijini Dar es Salaam leo Asubuhi.

DSC_0576

Sehemu ya Wafanyakazi wa Wizara ya Uchukuzi, wakikimbia katika maandamano ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliyofanyika Kitaifa Jijini Dar es Salaam, katika Uwanja Wa Taifa,jijini Dar es Salaam leo Asubuhi.

DSC_0577

Wafanyakazi wa Wizara ya Uchukuzi wakitoa...

 

11 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA WIZARA YA UCHUKUZI WASHEREHEA VEMA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI ILIYOADHIMISHWA KITAIFA JIJINI DAR

Sehemu ya wafanyakazi wa wizara ya Uchukuzi, wakiwa wamejipanga tayari kwa ajili ya kushiriki katika maandamano ya siku ya wafanyakazi Duniani yaliyofanyika Kitaifa Jijini Dar es Salaam, katika Uwanja Wa Taifa, jijini Dar es Salaam leo Asubuhi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani