50% ya wanawake wanajifungulia majumbani
KATIBU Mkuu Wizara ya Afya, Dk Mohamed Saleh Jidawi amesema asilimia 50 ya wanawake wajawazito bado wanajifungulia majumbani na kuhatarisha maisha yao.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima22 Sep
Wanawake Kitelewasi vinara kujifungulia majumbani
WANAWAKE wa Kijiji cha Kitelewasi Kata ya Rungemba Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa, wanaongoza kwa kujifungulia majumbani licha ya elimu kutolewa kuhusu umuhimu wa kujifungulia katika vituo vya afya na...
9 years ago
Habarileo05 Jan
Wanawake wengi bado wajifungulia majumbani
LICHA ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kutoa huduma bure za afya kwa wajawazito, ni asilimia 12.4 tu ya wanawake wanajifungulia katika hospitali za serikali.
11 years ago
BBCSwahili20 Jan
Google yaingia majumbani
10 years ago
Habarileo06 Jun
Wafanyakazi wa majumbani wakumbukwa
SERIKALI imesema inatarajia kuwasilisha bungeni mkataba namba 189 unaohusu kazi zenye staha kwa wafanyakazi wa majumbani ili uweze kuridhiwa.
10 years ago
BBCSwahili01 Oct
Wafanyikazi kusalia majumbani Liberia.
9 years ago
StarTV09 Sep
Ukatili majumbani waendelea Arusha.
Licha ya serikali na asasi zisizo za kiserikali kupiga vita vitendo vya unyanyasaji na ukatili katika jamii, mwanamke mmoja mkazi wa mtaa wa Oldadai kitongoji cha Ngulelo jijini Arusha anatuhumiwa kuwafanyia vitendo vya kikatili pamoja na kuwatishia maisha wasichana wake wa kazi hatua ambayo imewalazimu majirani kuingilia kati.
Binti aliyejulikana kwa jina la Jesca Mathias kati ya mabinti watatu wakiwa kama waajiriwa wa mwanamke anaetambulika kama mama Malaika ,amekuwa akinyanyasa...
11 years ago
Tanzania Daima21 Jan
Watanzania wanaumia bei ya gesi ya majumbani
MWAKA 2014 hali ya maisha kwa Watanzania wa kawaida imezidi kuwa ngumu kutokana na kila kitu kupanda bei. Mambo yaliyonishtua na kusababisha niandike mtazamo huu ni kutokana na bei ya...
9 years ago
Habarileo15 Nov
Mikoa minne kufaidika na gesi majumbani
WANANCHI 37,900 wanatarajia kuanza kunufaika na matumizi ya gesi majumbani pamoja na magari 9,400 kwa kuunganishwa na matumizi ya gesi kwenye mikoa minne inayopita bomba la gesi kutoka Mtwara mpaka jijini Dar es Salaam.
11 years ago
BBCSwahili26 Jun
Kombe la dunia lazua kasheshe majumbani