Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanawake Kitelewasi vinara kujifungulia majumbani

WANAWAKE wa Kijiji cha Kitelewasi Kata ya Rungemba Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa, wanaongoza kwa kujifungulia majumbani licha ya elimu kutolewa kuhusu umuhimu wa kujifungulia katika vituo vya afya na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wanawake wahimizwa kujifungulia hospitali

Mke wa Rais, Mama Salma KikweteMKE wa Rais Mama Salma Kikwete , amesema vifo vya wajawazito na watoto vitaweza kupungua ama kumalizika kabisa, iwapo wanawake watawahi mapema kujifungulia katika zahanati na vituo vya afya.

 

11 years ago

Habarileo

50% ya wanawake wanajifungulia majumbani

KATIBU Mkuu Wizara ya Afya, Dk Mohamed Saleh Jidawi amesema asilimia 50 ya wanawake wajawazito bado wanajifungulia majumbani na kuhatarisha maisha yao.

 

9 years ago

Habarileo

Wanawake wengi bado wajifungulia majumbani

LICHA ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kutoa huduma bure za afya kwa wajawazito, ni asilimia 12.4 tu ya wanawake wanajifungulia katika hospitali za serikali.

 

9 years ago

BBCSwahili

Voliboli :wanawake Kenya vinara

Timu ya wanawake ya Voliboli nchini Kenya yawiki michuano ya All Africa Games

 

10 years ago

Mwananchi

Wanawake ndiyo vinara usafiri wa bodaboda

>Zinaitwa bodaboda, kule Nigeria wanaziita okadas kwa jina jingine ni pikipiki. Hiki ni chombo cha usafiri ambacho katika miaka ya hivi karibuni kimeiteka miji mingi ya Afrika ikiwamo Tanzania.

 

10 years ago

Vijimambo

Wanawake ndiyo vinara usafiri wa bodaboda

Mwanamke akiwa amepanda bodaboda huku amembeba mtoto wake.Zinaitwa bodaboda, kule Nigeria wanaziita okadas kwa jina jingine ni pikipiki. Hiki ni chombo cha usafiri ambacho katika miaka ya hivi karibuni kimeiteka miji mingi ya Afrika ikiwamo Tanzania.Licha ya kutumika katika uhalifu, kusababisha vifo kwa kiasi kikubwa, utafiti  uliofanywa na gazeti hili  katika maeneo ya jiji la Dar es Salaam ambako kuna matumizi makubwa ya bodaboda ulibaini kuwa usafiri huu unapendwa zaidi na...

 

10 years ago

GPL

ZARI AZUIWA KUJIFUNGULIA A. KUSINI

Imelda Mtema
Stop! Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amemzuia mama kijacho wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kwenda kujifungulia nje ya Bongo pindi mambo yatakapokuwa tayari.
                             Mama kijacho wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’. Habari...

 

10 years ago

BBCSwahili

Je,wanaume wasalie eneo la kujifungulia?

Wanaume wengi hupendelea kwenda mbali ama hata kusafiri wanaposikia wake zao wanataka kujifungua.

 

11 years ago

Habarileo

Muuguzi aishi chumba cha kujifungulia

WA J A W A Z I T O katika Kijiji cha Iglansoni wilayani Ikungi mkoani Singida hawana mahali pa kujifungulia baada ya muuguzi wa zahanati hiyo, Mary Misai kuweka makazi yake kwenye chumba hicho.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani