Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Je,wanaume wasalie eneo la kujifungulia?

Wanaume wengi hupendelea kwenda mbali ama hata kusafiri wanaposikia wake zao wanataka kujifungua.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UBOVU WA BARABARA ENEO LA VIWANDA VYA KUSAGA NA KUKAMUA MAFUTA ENEO LA SIDO MBEYA NI KERO KWA WAFANYA BIASHARA ENEO HILO

 Hii dimbwi ambalo maji yametuama na kutunza uchafu.  Barabara iendayo kutokea uwanja wa zamani wa ndege mbeya ukiwa umejaa maji.…

 

10 years ago

Vijimambo

Story ya wanawake wa Rombo kukodi wanaume Kenya kuwaridhisha kimapenzi yatinga bungeni, wanaume wataka waombwe radhi


Habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Mwananchi juzi yenye kichwa cha habari ‘Wanawake wa Rombo wakodi wanaume kutoka Kenya’ imeibukia bungeni leo.Habari hiyo iliandikwa kutokana na kauli aliyoitoa mkuu wa wilaya ya Rombo, Lembris Kipuyo, aliyedai kuwa kutokana na wanaume wa wilaya hiyo kuwa walevi wa kutupa, wake zao wamekuwa wakikodi wanaume kutoka Kenya ili kuwaridhisha kimapenzi.
“Tatizo la ulevi wilayani Rombo na matumizi ya pombe zisizokuwa na viwango ni kubwa sana na linahitaji nguvu...

 

10 years ago

Habarileo

Wanawake wahimizwa kujifungulia hospitali

Mke wa Rais, Mama Salma KikweteMKE wa Rais Mama Salma Kikwete , amesema vifo vya wajawazito na watoto vitaweza kupungua ama kumalizika kabisa, iwapo wanawake watawahi mapema kujifungulia katika zahanati na vituo vya afya.

 

10 years ago

GPL

ZARI AZUIWA KUJIFUNGULIA A. KUSINI

Imelda Mtema
Stop! Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amemzuia mama kijacho wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kwenda kujifungulia nje ya Bongo pindi mambo yatakapokuwa tayari.
                             Mama kijacho wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’. Habari...

 

11 years ago

Habarileo

Muuguzi aishi chumba cha kujifungulia

WA J A W A Z I T O katika Kijiji cha Iglansoni wilayani Ikungi mkoani Singida hawana mahali pa kujifungulia baada ya muuguzi wa zahanati hiyo, Mary Misai kuweka makazi yake kwenye chumba hicho.

 

9 years ago

Mtanzania

Wajawazito waandaliwa vifaa vya kujifungulia

Na Florence Sanawa, Kilwa

WANAWAKE wajawazito wapatao 150 wananufaika na huduma ya uzazi bora katika Kijiji cha Nanjilinji ‘A’ wilayani Kilwa mkoani Lindi, kutokana na kijiji hicho kupata mapato ya uvunaji wa misitu ambayo yanakua kila mwaka hadi kufikia milioni 90 kwenye akaunti ya kijiji hicho.

Akizungumza na MTANZANIA, Mjumbe wa Kamati ya Kijiji ya Misitu, Maimuna Hemed, alisema kutokana na kijiji kukusanya mapato yanayokuwa kutokana na utunzaji na uvunaji wa misitu, kijiji kimejipanga...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wanawake Kitelewasi vinara kujifungulia majumbani

WANAWAKE wa Kijiji cha Kitelewasi Kata ya Rungemba Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa, wanaongoza kwa kujifungulia majumbani licha ya elimu kutolewa kuhusu umuhimu wa kujifungulia katika vituo vya afya na...

 

10 years ago

Vijimambo

UTATA: ZARI AZUIWA KUJIFUNGULIA A. KUSINI


Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na mama kijacho wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amemzuia mama kijacho wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kwenda kujifungulia nje ya Bongo pindi mambo yatakapokuwa tayari.Habari zilizonyakwa na Ijumaa Wikienda kutoka kwenye chanzo cha ndani ya familia ya Diamond zilieleza kwamba, tayari jamaa huyo amemuanzishia Zari kliniki...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani