UTATA: ZARI AZUIWA KUJIFUNGULIA A. KUSINI
Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na mama kijacho wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amemzuia mama kijacho wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kwenda kujifungulia nje ya Bongo pindi mambo yatakapokuwa tayari.Habari zilizonyakwa na Ijumaa Wikienda kutoka kwenye chanzo cha ndani ya familia ya Diamond zilieleza kwamba, tayari jamaa huyo amemuanzishia Zari kliniki...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DGjgPH8*8vn*kd8CYMet7Zu8YH1sjHwzZwYavkT5IKIkpsxpvfI9dth2qW0Y18qyQPFx3qPNDfDdZDeQxG-2vOE1WIXRWNNa/1.2.jpg?width=650)
ZARI AZUIWA KUJIFUNGULIA A. KUSINI
Imelda Mtema
Stop! Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amemzuia mama kijacho wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kwenda kujifungulia nje ya Bongo pindi mambo yatakapokuwa tayari.
                            Mama kijacho wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’. Habari...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vZBStZ816j1hLf7Y9EzTSweEm5ISiIreECaOwDg8H6rwhBfBh11CN7Eha-0Y7htc9jIUfQ3tLLOIVvaTE7mDzwn8C4-jtGQq/FRONTIJUMAA.gif?width=650)
ANAYEDAI WIFI WA ZARI AZUIWA GETINI KWA DIAMOND
Waandishi wetu
Mrembo aliyedai ni dada wa hiyari wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ aliyejitambulisha kwa jina moja la Rose akijiita wifi wa mwandani wa jamaa huyo, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, hivi karibuni ameumia kupita maelezo baada ya kuzuiwa kuingia nyumbani kwa mastaa hao, Ijumaa lina mkanda mzima. Soma zaidi===>http://bit.ly/1e4hQg7 ...
10 years ago
GPLPOST YA ZARI KUMTAKIA HERI YA KUZALIWA WIFI YAKE YAZUA UTATA INSTAGRAM
MPENZI wa staa wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' Zarinah Hassan 'The Boss Lady' amemtakia heri ya kuzaliwa wifi yake Esma kupitia akaunti yake ya Instagram huku post yake ikizua utata kwa mashabiki. Zari. Zari ambaye bado yupo Bongo katika post yake hiyo awali aliandika 'Happy bday to my lovely shemeji wifi' ila baadaye aliamua kubadilisha baada ya baadhi ya mashabiki wake kumkosoa huku wengine wakidai...
11 years ago
Mwananchi06 Feb
Utata kesi ya Mtanzania Afrika Kusini
Kesi ya Mtanzania Stephen Ongolo anayeshikiliwa na polisi Afrika Kusini akituhumiwa kutishia kutoa siri za mke wa pili wa Rais wa nchi hiyo, Jacob Zuma, Nompumelelo Ntuli Zuma (MaNtuli), imeibua mabishano ya kisheria ya kuhusu mahali anapotakiwa kushtakiwa.
10 years ago
BBCSwahili23 Sep
Msikiti uliozua utata wafungwa A.Kusini
Msikiti unaosemekana kuunga mkono watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja na ambao wanawake wataruhusiwa kusalisha umefungwa
10 years ago
BBCSwahili19 Sep
Msikiti wazua Utata Afrika Kusini
Uzinduzi wa Msikiti wa umma Afrika kusini wazua hisia kali miongoni mwa waumini wa Kiislamu
9 years ago
Bongo528 Sep
Picha: Tiffah alivyoiongezea furaha familia ya Zari Afrika Kusini
Pamoja na kuwa ni watoto wa baba tofauti, watoto wa kiume wa Zari wamempokea kwa furaha kubwa Tiffah, mtoto wa Zari the Bosslady. Zari kwenye picha hii ameandika: If anybody ever said perfect doesn’t exist, they were wrong. It surely does!!!! Look at my ‘perfect’ lil life Baada ya Tiffah kufikisha siku 40, sasa ni […]
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/P0y0X6852Mc/default.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania