Msikiti uliozua utata wafungwa A.Kusini
Msikiti unaosemekana kuunga mkono watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja na ambao wanawake wataruhusiwa kusalisha umefungwa
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili19 Sep
Msikiti wazua Utata Afrika Kusini
Uzinduzi wa Msikiti wa umma Afrika kusini wazua hisia kali miongoni mwa waumini wa Kiislamu
11 years ago
BBCSwahili29 Jan
S.Kusini yawaachilia wafungwa wa kisiasa
Wafungwa 7 wa kisiasa wameachiliwa huru na serikali ya Sudan Kusini.
9 years ago
BBCSwahili11 Nov
Polisi wanane wafungwa jela Afrika Kusini
Maafisa wanane wa polisi waliopatikana na hatia ya kumtendea unyama raia wa Msumbiji mwaka 2013 wamehukumiwa kifungo cha miaka 15 kila mmoja.
10 years ago
Vijimambo14 Apr
UTATA: ZARI AZUIWA KUJIFUNGULIA A. KUSINI

Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na mama kijacho wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amemzuia mama kijacho wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kwenda kujifungulia nje ya Bongo pindi mambo yatakapokuwa tayari.Habari zilizonyakwa na Ijumaa Wikienda kutoka kwenye chanzo cha ndani ya familia ya Diamond zilieleza kwamba, tayari jamaa huyo amemuanzishia Zari kliniki...
11 years ago
Mwananchi06 Feb
Utata kesi ya Mtanzania Afrika Kusini
Kesi ya Mtanzania Stephen Ongolo anayeshikiliwa na polisi Afrika Kusini akituhumiwa kutishia kutoa siri za mke wa pili wa Rais wa nchi hiyo, Jacob Zuma, Nompumelelo Ntuli Zuma (MaNtuli), imeibua mabishano ya kisheria ya kuhusu mahali anapotakiwa kushtakiwa.
10 years ago
Michuzi
Msikiti wa Ijumaa wa Kijiji cha Umbuji { Masjid Shuraa } Jimbo la Uzini Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja wazinduliwa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Al – Hajj Dr. Ali Mohammed Shein amesema ni jambo la faraja kuona kwamba waumini wa Dini ya Kiislamu waliojalaliwa uwezo wanaendelea kujitokeza katika ujenzi wa majengo ya Misikiti na madrasa za Kisasa katika maeneo mbali mbali hapa Nchini. Alisema mwamko huo umesaidia kupata majengo mazuri nay a kisasa kwa mujibu wa maendeleo ya sayansi na teknolojia kiasi kwamba mazingira ya kufanyia Ibada yanaridhisha katika kuwafundisha vijana Quran...
10 years ago
BBCSwahili23 Jan
Mswada uliozua zogo DRC kurekebishwa
Baraza la Senate nchini DRC limepiga kjura kufanyia mswada marekebisho mswada uliopendekeza sheria za uchaguzi kufanyiwa mabadiliko.
10 years ago
Michuzi.jpg)
Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL,afanya ziara mikoa ya kusini na Nyanda za juu kusini
Afisa Mtendaji Mkuu Dr Kamugisha Kazaura atembelea mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma na Mbeya ikiwa na lengo la kukagua miundombinu ya TTCL na Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano pamoja na kuzungumza na wafanyakazi wa TTCL wa mikoa hiyo.
Dr Kazaura ailijionea juhudi mbalimbali zinazofanywa na wafanyakazi wa TTCL katika kuhakikisha miundombinu ya TTCL na Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano inakuwa salama muda.
Hivi sasa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) imekuwa kampuni pekee ya mawasiliano ambayo imefanikiwa...
Dr Kazaura ailijionea juhudi mbalimbali zinazofanywa na wafanyakazi wa TTCL katika kuhakikisha miundombinu ya TTCL na Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano inakuwa salama muda.
Hivi sasa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) imekuwa kampuni pekee ya mawasiliano ambayo imefanikiwa...
9 years ago
Michuzi
balozi Seif Ali Iddi atembelea msitu wa Muyuni Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja.


Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania