Polisi wanane wafungwa jela Afrika Kusini
Maafisa wanane wa polisi waliopatikana na hatia ya kumtendea unyama raia wa Msumbiji mwaka 2013 wamehukumiwa kifungo cha miaka 15 kila mmoja.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili15 Dec
Mfalme wa Afrika Kusini kufungwa jela
Mfalme wa kabila la Nelson Mandela la Thembu atafungwa jela baada ya mahakama ya kikatiba nchini Afrika Kusini kukataa kata kata kusikiza ombi la rufaa
9 years ago
BBCSwahili31 Dec
Mfalme wa Afrika Kusini aanza maisha jela
Mfalme wa kabila la Wathembu nchini Afrika Kusini ameanza kutumikia kifungo cha miaka 12 jela siku chache baada yake kupoteza rufaa.
9 years ago
BBCSwahili01 Oct
Mfalme kufungwa jela miaka 12 Afrika Kusini
Mahakama nchini Afrika Kusini imedumisha hukumu aliyopewa mfalme wa kabila la Thembu, ikisema lazima atumikie kifungo cha miaka 12.
9 years ago
Habarileo08 Nov
Raia wa Afrika Kusini atupwa jela kwa kuishi Zanzibar kinyume
RAIA wa Afrika Kusini amefungwa miaka mitatu jela Zanzibar kwa kosa la kujaribu kuishi Zanzibar kinyume cha Sheria.
11 years ago
BBCSwahili12 Mar
Polisi Afrika Kusini Matatani
Maafisa 2 wa polisi nchini Afrika Kusini watiwa mbaroni baada ya picha za video kuonyeshwa wakimdhulumu mtu mmoja kutoka Nigeria
10 years ago
BBCSwahili26 Jun
Polisi washutumiwa Afrika kusini
Polisi nchini Afrika kusini washutumiwa kuhusika katika tukio la mauaji dhidi ya Wafanyakazi 34 wa mgodi wa Marikana
11 years ago
BBCSwahili13 Mar
Nigeria yalaani polisi Afrika Kusini
Nigeria imeteta vikali kuhusu polisi wa Afrika Kusini walionaswa katika kanda ya video wakimtesa kinyama raia wa Nigeria mjini Cape Town.
11 years ago
BBCSwahili24 Jun
Wandishi wa Al Jazeera wafungwa jela
Serikali ya Misri imewahukumu jela kati ya miaka saba na kumi wandishi wa Al Jazeera
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania