Mfalme wa Afrika Kusini aanza maisha jela
Mfalme wa kabila la Wathembu nchini Afrika Kusini ameanza kutumikia kifungo cha miaka 12 jela siku chache baada yake kupoteza rufaa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili15 Dec
Mfalme wa Afrika Kusini kufungwa jela
Mfalme wa kabila la Nelson Mandela la Thembu atafungwa jela baada ya mahakama ya kikatiba nchini Afrika Kusini kukataa kata kata kusikiza ombi la rufaa
9 years ago
BBCSwahili01 Oct
Mfalme kufungwa jela miaka 12 Afrika Kusini
Mahakama nchini Afrika Kusini imedumisha hukumu aliyopewa mfalme wa kabila la Thembu, ikisema lazima atumikie kifungo cha miaka 12.
9 years ago
BBCSwahili29 Dec
Waziri akataa ombi la mfalme wa Afrika Kusini
Waziri wa haki wa Afrika Kusini amefutilia mbali ombi la kutaka kesi inayomkabili mfalme wa jamii ya Nelson Mandela ya Thembu isikizwe upya.
9 years ago
BBCSwahili23 Dec
Mfalme wa Afrika Kusini kuanza kifungo leo
Serikali ya Afrika Kusini inatarajia mfalme wa kabila la aliyekuwa rais Nelson Mandela, la Thembu, kuanza kutumikia kifungo cha miaka 12 gerezani hii leo.
9 years ago
Mwananchi19 Dec
Zuma aanza kupoteza umaarufu Afrika Kusini
Maelfu ya wananchi wa Afrika Kusini wamejitokeza barabarani wiki hii kushiriki maandamano ya amani kuongeza shinikizo kwa Rais Jacob Zuma aachie ngazi kutokana na kukabiliwa na tuhuma mbalimbali, hasa ya utawala wake kushindwa kusimamia rasilimali za taifa. Â Â Â
9 years ago
BBCSwahili11 Nov
Polisi wanane wafungwa jela Afrika Kusini
Maafisa wanane wa polisi waliopatikana na hatia ya kumtendea unyama raia wa Msumbiji mwaka 2013 wamehukumiwa kifungo cha miaka 15 kila mmoja.
9 years ago
Habarileo08 Nov
Raia wa Afrika Kusini atupwa jela kwa kuishi Zanzibar kinyume
RAIA wa Afrika Kusini amefungwa miaka mitatu jela Zanzibar kwa kosa la kujaribu kuishi Zanzibar kinyume cha Sheria.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania