Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mfalme wa Afrika Kusini kuanza kifungo leo

Serikali ya Afrika Kusini inatarajia mfalme wa kabila la aliyekuwa rais Nelson Mandela, la Thembu, kuanza kutumikia kifungo cha miaka 12 gerezani hii leo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Mfalme wa Afrika Kusini kufungwa jela

Mfalme wa kabila la Nelson Mandela la Thembu atafungwa jela baada ya mahakama ya kikatiba nchini Afrika Kusini kukataa kata kata kusikiza ombi la rufaa

 

9 years ago

BBCSwahili

Waziri akataa ombi la mfalme wa Afrika Kusini

Waziri wa haki wa Afrika Kusini amefutilia mbali ombi la kutaka kesi inayomkabili mfalme wa jamii ya Nelson Mandela ya Thembu isikizwe upya.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mfalme kufungwa jela miaka 12 Afrika Kusini

Mahakama nchini Afrika Kusini imedumisha hukumu aliyopewa mfalme wa kabila la Thembu, ikisema lazima atumikie kifungo cha miaka 12.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mfalme wa Afrika Kusini aanza maisha jela

Mfalme wa kabila la Wathembu nchini Afrika Kusini ameanza kutumikia kifungo cha miaka 12 jela siku chache baada yake kupoteza rufaa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi Afrika kusini kuanza Doria

Wanajeshi wa Afrika Kusini wataanza Doria kudhibiti vitendo vya ukatili dhidi ya watu kutoka mataifa ya Afrika

 

10 years ago

BBCSwahili

Mechi za kombe la Afrika kuanza leo

Timu zote Afrika zimewasili nchini Equatorial Guinea wakati ambapo mechi za taifa bingwa barani zinatarajiwa kung'oa nanga hii leo

 

10 years ago

GPL

MAELFU WAMZIKA MEYIWA AFRIKA KUSINI LEO

Jeneza la Senzo Meyiwa. Maelfu ya watu wamehudhuria mazishi ya aliyekuwa nahodha wa timu ya soka ya Afrika Kusini Senzo Meyiwa yanayofanyika jijini Durban. Meyiwa, mwenye umri wa miaka 27, alipigwa risasi Jumapili iliyopita, baada ya majambazi kuingia nyumbani mwa mpenzi wake karibu na Johannesburg.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani