Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAELFU WAMZIKA MEYIWA AFRIKA KUSINI LEO

Jeneza la Senzo Meyiwa. Maelfu ya watu wamehudhuria mazishi ya aliyekuwa nahodha wa timu ya soka ya Afrika Kusini Senzo Meyiwa yanayofanyika jijini Durban. Meyiwa, mwenye umri wa miaka 27, alipigwa risasi Jumapili iliyopita, baada ya majambazi kuingia nyumbani mwa mpenzi wake karibu na Johannesburg.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Maelfu wamzika Meyiwa Afrika Kusini

Maelfu ya watu nchini Afrika Kusini wamejitokeza kumzika aliyekuwa nahodha na mlinda mlango wa timu ya Bafana Bafana

 

10 years ago

Habarileo

Maelfu wamzika Mufti Simba

Rais Jakaya Kikwete akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliyezikwa jana mkoani Shinyanga. (Picha na Ikulu).RAIS Jakaya Kikwete, jana aliwaongoza maelfu ya wakazi wa Shinyanga na mikoa jirani, viongozi wa dini, Serikali na wanasiasa kumzika aliyekuwa Mufti na Shehe Mkuu wa Tanzania, Issa bin Shaaban Simba ,78, (pichani) aliyeaga dunia juzi jijini Dar es Salaam na kuzikwa jana jioni mjini hapa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Maelfu wamzika Rais Sata

MAELFU ya wananchi wa Zambia pamoja na viongozi mbalimbali duniani, jana walifurika kuhitimisha safari ya mwisho ya aliyekuwa Rais ya nchi hiyo, Michael Satta katika mazishi yake yaliyofanyika kwenye viwanja...

 

11 years ago

Habarileo

Maelfu wamzika Dk Mgimwa kijijini kwake

Rais Jakaya Kikwete na mkewe Salma Kikwete wakimwaga mchanga katika kaburi la marehemu Dk William Mgimwa wakati wa maziko yake kijijini kwake Magunga, Iringa Vijijini jana. (Picha na Frank Leonard).RAIS Jakaya Kikwete na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, jana waliongoza maelfu ya wakazi wa mkoani Iringa na mikoa ya jirani katika maziko ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga, Dk William Mgimwa (CCM).

 

10 years ago

GPL

MAELFU WAMZIKA MWANAMUZIKI AK47 NCHINI UGANDA

Jeneza lenye mwili wa AK47 likiwa mbele ya waombolezaji. MAELFU ya wananchi nchini Uganda jana waliungana na familia, ndugu, jamaa na marafiki kumzika mwanamuziki wa dancehall nchini humo, Emmanuel Mayanja maarufu kwa jina la AK47. Umati wa watu waliohudhuria mazishi ya AK47 huko Busato nchini Uganda jana. AK47 alifariki dunia usiku wa kuamkia Machi 17, 2015 baada ya kuanguka akiwa bafuni katika baa iitwayo Dejavu, iliyopo eneo...

 

11 years ago

GPL

MAELFU WAMZIKA ADAM KUAMBIANA KINONDONI DAR

Mashada yakiwa tayari juu ya kaburi la Marehemu Adam Philipo Kuambiana,muda mfupi baada ya shughuli za mazishi kukamilika. Jacob Steven 'JB',akiweka shada kwenye kaburi hilo. Msanii wa fialmu Bongo,Mariam akiweka…

 

9 years ago

BBCSwahili

Mfalme wa Afrika Kusini kuanza kifungo leo

Serikali ya Afrika Kusini inatarajia mfalme wa kabila la aliyekuwa rais Nelson Mandela, la Thembu, kuanza kutumikia kifungo cha miaka 12 gerezani hii leo.

 

11 years ago

GPL

LEO NI SIKU YA MAOMBI AFRIKA KUSINI KUMKUMBUKA MANDELA

Binti akiwa na mshumaa wakati wa ibada ya maombi ya kumkumbuka Nelson Mandela katika kanisa la Regina Mundi lililopo Soweto, Afrika Kusini leo. Waumini wakiwa katika ibada ya maombi ya kumkumbuka Nelson Mandela katika kanisa la Methodist mjini Johannesburg leo. (Picha na Reuters) Wananchi wa Afrika Kusini leo wanashirki maombi ya kitaifa ya… ...

 

11 years ago

GPL

IBADA YA KITAIFA AFRIKA KUSINI KUMUAGA MANDELA LEO

Marehemu Nelson Rolihlahla Mandela enzi za uhai wake. Leo inafanyika ibada kubwa ya kitaifa Uwanja wa FNB, Johannesburg kumuaga Nelson Mandela ambapo viongozi mbalimbali watahudhuria ibada hiyo wakiwemo Rais Barrack Obama na mkewe Michelle, Rais Jakaya Kikwete, Rais Robert Mugabe na mkewe, Rais Uhuru Kenyatta na mkewe, Rais Yoweri Museveni, Rais Joyce Banda na wengineo wengi. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani