Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maelfu wamzika Meyiwa Afrika Kusini

Maelfu ya watu nchini Afrika Kusini wamejitokeza kumzika aliyekuwa nahodha na mlinda mlango wa timu ya Bafana Bafana

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAELFU WAMZIKA MEYIWA AFRIKA KUSINI LEO

Jeneza la Senzo Meyiwa. Maelfu ya watu wamehudhuria mazishi ya aliyekuwa nahodha wa timu ya soka ya Afrika Kusini Senzo Meyiwa yanayofanyika jijini Durban. Meyiwa, mwenye umri wa miaka 27, alipigwa risasi Jumapili iliyopita, baada ya majambazi kuingia nyumbani mwa mpenzi wake karibu na Johannesburg.…

 

10 years ago

Tanzania Daima

Maelfu wamzika Rais Sata

MAELFU ya wananchi wa Zambia pamoja na viongozi mbalimbali duniani, jana walifurika kuhitimisha safari ya mwisho ya aliyekuwa Rais ya nchi hiyo, Michael Satta katika mazishi yake yaliyofanyika kwenye viwanja...

 

10 years ago

Habarileo

Maelfu wamzika Mufti Simba

Rais Jakaya Kikwete akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliyezikwa jana mkoani Shinyanga. (Picha na Ikulu).RAIS Jakaya Kikwete, jana aliwaongoza maelfu ya wakazi wa Shinyanga na mikoa jirani, viongozi wa dini, Serikali na wanasiasa kumzika aliyekuwa Mufti na Shehe Mkuu wa Tanzania, Issa bin Shaaban Simba ,78, (pichani) aliyeaga dunia juzi jijini Dar es Salaam na kuzikwa jana jioni mjini hapa.

 

11 years ago

Habarileo

Maelfu wamzika Dk Mgimwa kijijini kwake

Rais Jakaya Kikwete na mkewe Salma Kikwete wakimwaga mchanga katika kaburi la marehemu Dk William Mgimwa wakati wa maziko yake kijijini kwake Magunga, Iringa Vijijini jana. (Picha na Frank Leonard).RAIS Jakaya Kikwete na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, jana waliongoza maelfu ya wakazi wa mkoani Iringa na mikoa ya jirani katika maziko ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga, Dk William Mgimwa (CCM).

 

10 years ago

GPL

MAELFU WAMZIKA MWANAMUZIKI AK47 NCHINI UGANDA

Jeneza lenye mwili wa AK47 likiwa mbele ya waombolezaji. MAELFU ya wananchi nchini Uganda jana waliungana na familia, ndugu, jamaa na marafiki kumzika mwanamuziki wa dancehall nchini humo, Emmanuel Mayanja maarufu kwa jina la AK47. Umati wa watu waliohudhuria mazishi ya AK47 huko Busato nchini Uganda jana. AK47 alifariki dunia usiku wa kuamkia Machi 17, 2015 baada ya kuanguka akiwa bafuni katika baa iitwayo Dejavu, iliyopo eneo...

 

11 years ago

GPL

MAELFU WAMZIKA ADAM KUAMBIANA KINONDONI DAR

Mashada yakiwa tayari juu ya kaburi la Marehemu Adam Philipo Kuambiana,muda mfupi baada ya shughuli za mazishi kukamilika. Jacob Steven 'JB',akiweka shada kwenye kaburi hilo. Msanii wa fialmu Bongo,Mariam akiweka…

 

11 years ago

BBCSwahili

Maelfu wakimbia vita Sudan Kusini

Takriban Watu 1,000 wameuawa katika mapigano nchini humo na takriban wengine 200,000 wakikimbia mapigano kati ya Jamii ya Dinka na Nuer.

 

9 years ago

BBCSwahili

Maelfu waandamana kupinga mabadiliko Korea Kusini

Maelfu ya watu wameandamana leo nchini Korea Kusini kupinga mipango ya serikali ambayo wanasema itadhoofisha demokrasia.

 

11 years ago

BBCSwahili

Maelfu wamuaga shujaa wa Afrika Mandela

Zaidi ya marais 90 wameungana na wananchi wa Afrika Kusini katika misa ya wafu ya Nelson Mandela na kusimulia kumbukumbu zao kuhusu Shujaa huyo wa Afrika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani