Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanawake ndiyo vinara usafiri wa bodaboda

Mwanamke akiwa amepanda bodaboda huku amembeba mtoto wake.Zinaitwa bodaboda, kule Nigeria wanaziita okadas kwa jina jingine ni pikipiki. Hiki ni chombo cha usafiri ambacho katika miaka ya hivi karibuni kimeiteka miji mingi ya Afrika ikiwamo Tanzania.Licha ya kutumika katika uhalifu, kusababisha vifo kwa kiasi kikubwa, utafiti  uliofanywa na gazeti hili  katika maeneo ya jiji la Dar es Salaam ambako kuna matumizi makubwa ya bodaboda ulibaini kuwa usafiri huu unapendwa zaidi na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wanawake ndiyo vinara usafiri wa bodaboda

>Zinaitwa bodaboda, kule Nigeria wanaziita okadas kwa jina jingine ni pikipiki. Hiki ni chombo cha usafiri ambacho katika miaka ya hivi karibuni kimeiteka miji mingi ya Afrika ikiwamo Tanzania.

 

11 years ago

GPL

HAYA NDIYO MAGARI VINARA KWA KUVUNJA SHERIA!

Stori: Mwandishi Wetu
HUKU ajali za barabarani zikizidi kuongezeka kila siku hasa jijini Dar es Salaam, timu ya uchunguzi ya Operesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers, hivi karibuni lilifanikiwa kuyanasa baadhi ya magari kadhaa yanayokiuka sheria za usalama barabarani. Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mohamed Mpinga Magari hayo, ambayo yalikuwa kinara wakati wa uchunguzi huo, yakiwemo yenye namba za usajili...

 

9 years ago

BBCSwahili

Voliboli :wanawake Kenya vinara

Timu ya wanawake ya Voliboli nchini Kenya yawiki michuano ya All Africa Games

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wanawake Kitelewasi vinara kujifungulia majumbani

WANAWAKE wa Kijiji cha Kitelewasi Kata ya Rungemba Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa, wanaongoza kwa kujifungulia majumbani licha ya elimu kutolewa kuhusu umuhimu wa kujifungulia katika vituo vya afya na...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Makalla aendelea na ziara jimboni kwake kwa usafiri wa bodaboda

Mbunge wa Jimbo la Mvomero na Naibu Waziri wa Maji,Mh. Amos Makalla ameendelea na ziara Jimboni kwake kwa kutumia usafiri wa pikpiki,na safari hii ameweza kufika kijiji cha Sewe ambacho kipo kilomita 35 toka kijiji cha Maharaka.
Kutokana na kutokuwepo kwa barabara nzuri za kuelekea kwenye kijiji hicho,Mh. Makalla aliamua kutumia zaidi ya saa moja kufika kijiji cha Sewe kwa kutumia usafiri wa pikipiki ili mradi awafikie wananchi wake.
Mara baada ya kuwasili kijiji hicho,wananchi walifurahi na...

 

10 years ago

Mwananchi

Hii ndiyo ‘serikali’ ya Bodaboda

>Waendesha bodaboda sasa wanaweza kufananishwa na ‘serikali’ inayojitegemea au taasisi ya kipekee kutokana na kuunda umoja  katika ulinzi na usalama, biashara, vizazi na hata katika vifo na magonjwa.

 

9 years ago

Dewji Blog

Wanawake wakiafrika wahamasishwa kujiunga na sekta ya usafiri wa anga

Ann-Marie Lewis

Rubani mwanamke, Anne-Marie Lewis.

Pamoja na kwamba uwepo wa  wanawake katika sekta ya usafiri wa anga bado ni mdogo, uwezo wa kuwa viongozi katika usafiri wa anga hauna mwiko. Wanawake barani Afrika hawapaswi kuogopa kuwa sehemu ya sekta hii inayokua barani kote. Hayo ni maneno kutoka kwa rubani mwanamke wa kwanza kuongoza ndege aina ya Airbus A380 inayomilikiwa na kampuni la fastjet Tanzania, rubani Anne-Marie Lewis, ambaye huongoza ndege hii ya Airbus katika mikoa ya Tanzania na nchi...

 

10 years ago

Habarileo

‘Wanawake pigieni kura ya ndiyo Katiba’

Mwenyekiti wa UWT, Sophia Simba.MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake nchini (UWT), Sofia Simba amewataka wanawake nchini, kujitokeza kwa wingi kuipigia kura ya ndiyo Katiba Inayopendekezwa wakati ukifika, kwani ni mkombozi kwa mwanamke katika harakati zake za kijamii na kisiasa.

 

10 years ago

Vijimambo

Je kwa nini wanawake huwa na furaha zaidi wakati wa kufunga ndoa? Hizi hapa chini ndiyo sababu


Wakatiwa kufunga ndoa wanawake wengi huonyesha furaha zao kwa namna tofauti. Wako ambao kutokana na furaha ya kuolewa wanashindwa kujizuia na kuanza kulia siyo kwa huzuni bali kwa furaha iliyopitiliza, wengine honyesha furaha zao kwa kucheza mziki kwa furaha na kumbusu mume wake wa maisha kwa mfululizo kama vile anachezea mdoli akiwa haamini kile kinachomtokea nk.Kwa upande wa mume naye huwa na furaha kwa upande wake lakini furaha hiyo haizidi furaha ya mke, hiyo ni kwa sababu mwanaume...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani