Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyakazi wa NBC wakutana kujengana uwezo na mshikamano

 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa  Benki ya NBC, Pius Tibazarwa (wa pili kulia) akishiriki michezo na baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo katika warsha ya siku ya moja ya kujengeana uwezo na mshikamano mahali pa kazi iliyoandaliwa na kitengo cha masoko cha benki hiyo na kuwashirikisha wafanyakazi wa vitengo mbalimbali vya NBC. Meneja Mahusiano wa Benki ya NBC, William Kallaghe akizungumza katika warsha hiyo. Baadhi ya washiriki wa warsha hiyo. Baadhi ya wafanyakazi wa NBC walioshiriki warsha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Mshikamano ndiyo utawakomboa wafanyakazi

>Wafanyakazi kote duniani jana waliungana kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani. Hapa nchini maadhimisho hayo yalifanyika kitaifa jijini Dar es Salaam kwa maandamano ya wafanyakazi kuelekea Uwanja wa Uhuru ambako Rais Jakaya Kikwete alilihutubia Taifa.

 

10 years ago

Michuzi

PPF YAFUTIRISHA WAFANYAKAZI WAKE KUONYESHA MSHIKAMANO

MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio, (wapili kushoto0, akichukua futari wakati alipowaandalia futari wafanyakazi wake kwenye hoteli ya city garden jijini Dar es Salaam. PPF imekuwa na utaratibu kama huo wa kuwaandalia futari wadau wa Mfuko huo hali kadhalika wafanyakazi wake, kila mwaka ili kuonyesha mshikamano wa pamoja Baadhi ya Wafanyakazi wa PPF wakishirikia kwenye Futari ya pamoja.Mmoja wa wafanyakazi akityoa shukrani kwa niaba ya wwenzake baada ya futari hiyo...

 

10 years ago

Dewji Blog

PPF yaandalia futari wafanyakazi wake, ni utaratibu wa kila mwaka kuonyesha mshikamano

MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio, (wapili kushoto), akichukua futari wakati alipowaandalia futari wafanyakazi wake kwenye hoteli ya City Garden jijini Dar es Salaam. PPF imekuwa na utaratibu kama huo wa kuwaandalia futari wadau wa Mfuko huo hali kadhalika wafanyakazi wake, kila mwaka ili kuonyesha mshikamano wa pamoja Mmoja wa wafanyakazi akityoa shukrani kwa niaba ya wwenzake baada ya futari hiyo. Erio, akizungumza mwishoni mwa hafla hiyo.

 

10 years ago

Michuzi

NBC WAKUTANA NA MAWAKILI WA MAKAMPUNI MBALIMBALI KWA LENGO LA KUFAHAMIANA

Mkurugenzi Mtendaji wa Muda wa Benki ya NBC, Pius Tibarazwa, akizungumza katika hafla waliyowaandalia wanasheria kutoka makampuni mbalimbali ili kufahamiana na wafanyakazi wa NBC na pia kuwapa maelezo ya huduma za kibenki zinazotolewa katika kitengo cha huduma binafsi za kibenki kwa wateja wakubwa cha benki hiyo. Hafla hiyo ilifanyika katika kitengo hicho kilichopo ndani ya Jengo la Coco Plaza, Dar es Salaam jana. Mkurugenzi Mtendaji wa Muda wa Benki ya NBC, Pius Tibarazwa (katikati),...

 

9 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa Benki ya NBC walivyoadhimisha Uhuru Day

Meneja wa Tawi la Corporate la Benki ya NBC, Geoffrey Ndossa (kushoto), na Meneja Masoko wa benki hiyo, Alina Maria Kimaryo wakifanya usafi eneo la ufukwe wa salender jijini Dar es Salaam kuadhimisha Siku ya Uhuru ambapo wafanyakazi wa NBC waliungana na watanzania wengine kuitikia wito wa serikali ya awamu ya tano kusafisha mazingiraBaadhi ya wafanyakazi wa benki ya NBC wakifanya usafi eneo ufukwe wa salander jijini Dar es Salaam kuadhimisha Siku ya Uhuru ambapo wafanyakazi hao waliungana na...

 

11 years ago

Michuzi

MKURUGENZI WA NBC BENKI AWAPIGA MSASA WAFANYAKAZI WANAWAKE WA VODACOM

Ofisa Mkuu wa Idara ya Sheria na Udhibiti, wa Vodacom Tanzania, Akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wanawake wa kampuni ya Mawasiliano wa Vodacom wakati walipofanya kongamano na Mkurugenzi wa Benki ya NBC Mizinga Melu, ikiwa ni sehemu ya kubadilisha uzoefu na kujengeana uwezo. Kongamano hilo lilifanyika katika makao makuu ya kampuni Mlimani City jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu, akisikiliza swali kutoka kwa mfanyakazi wa kampuni ya Mawasiliano ya...

 

11 years ago

GPL

MKURUGENZI WA NBC BENKI AWAPIGA MSASA WAFANYAKAZI WANAWAKE WA VODACOM‏

Ofisa Mkuu wa Idara ya Sheria na Udhibiti wa Vodacom Tanzania, Akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wanawake wa kampuni ya Mawasiliano wa Vodacom wakati walipofanya kongamano na Mkurugenzi wa Benki ya NBC Mizinga Melu, ikiwa ni sehemu ya kubadilisha uzoefu na kujengeana uwezo. Kongamano hilo lilifanyika katika makao makuu ya kampuni Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu,...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA BENKI YA NBC WAJITOLEA DAMU KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Rukia Mtingwa (kushoto) akiwaongoza baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo katika tukio la kujitolea damu lililoandaliwa na benki hiyo kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani jijini Dar es Salaam jana.Meneja Mahusiano ya Kibiashara wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Lukemelelo Kaduma (katikati) akijitolea damu ikiwa ni sehemu ya matukio ya wafanyakazi wa NBC kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani jijini Dar es Salaam mwishoni jana....

 

10 years ago

Michuzi

Mkurugenzi Mtendaji wa NBC ajadili maendeleo ya benki hiyo na wafanyakazi wake

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Mizinga Melu katika utaratibu aliojiwekea wa kila mwezi kufanya mazungumzo na wafanyakazi wa idara mbalimbali za benki hiyo ili kuwajulisha maendeleo na mipango ya NBC kama inavyooenekana katika picha hizi tofauti akiwa na wafanyakazi hao jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani