WAGANGA WAJA NA MBWEMBWE ZA KUMTIBU MAGESE

Stori: Kulwa Mwaibale Waganga wawili wa jadi wameibuka na mbwembwe za kutaka kumtibu Mwanamitindo na Miss Tanzania mwaka 2001, Millen Happiness Magese kufuatia mrembo huyo kulia kuwa hawezi kupata mtoto kutokana na ugonjwa wa Endometriosis unaomkabili. Mwanamitindo na Miss Tanzania mwaka 2001, Millen Happiness Magese akiwa kwenye ofisi za Global Publishers. Waganga hao wakizungumza kwa nyakati tofauti na Ijumaa baada ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies24 Apr
Wema Akubali Waganga 26 Kumtibu
Kufuatia tatizo la kushindwa kupata ujauzito alilonalo msanii maarufu Bongo, Wema Sepetu, hivi karibuni waganga wapatao 26 kutoka sehemu mbalimbali nchini walijitokeza na kuomba kuunganishwa na staa huyo ili wamtibu.
Waganga hao wa tiba asilia pamoja na madaktari kutoka hospitali mbalimbali kwa nyakati tofauti walililipigia simu gazeti hili na kueleza kuwa, wanashangaa kuona Wema anakosa amani wakati wao wanaweza kumtibu na kuweza kuitwa mama kama wenzake.
“Unajua wapo wanawake ambao...
10 years ago
GPL
WEMA AKUBALI WAGANGA 26 KUMTIBU
10 years ago
BBCSwahili26 Apr
Waganga wajitolea kumtibu Wema Sepetu
11 years ago
Michuzi.jpg)
10 years ago
Mwananchi30 Jun
Magese apeta BET
11 years ago
Mwananchi29 May
Magese kujenga hospitali
10 years ago
TheCitizen05 Jun
Millen Magese: My voice has been heard
10 years ago
GPL
MILLEN MAGESE AMSAPRAIZ JOKATE