Wageni kupimwa Ebola kombe la Afrika
Chama cha soka Africa (CAf) kimetangaza kufanyika kwa vipimo vya ugonjwa wa ebola katika michuno ya kombe la Mataifa ya afrika.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo06 Sep
Wageni wakaguliwa kubaini ebola
WAGENI wanaoingia visiwani Zanzibar kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amaan Karume, wameanza kukaguliwa kwa kutumia vifaa vya kugundua dalili za ugonjwa wa homa ya ebola.
10 years ago
BBCSwahili17 May
Afrika Kusini yawatimua wageni 400
Afrika Kusini imeanzisha operesheni ya kuwafurusha raia wa mataifa mengine ya Afrika kufuatia vurumai za kibaguzi zilizoibuka dhidi ya wageni katika taifa hilo hivi majuzi.
10 years ago
Vijimambo21 Apr
Waziri Membe: Hakuna Mtanzania katika mauaji ya Wageni Afrika Kusini
10 years ago
BBCSwahili21 Oct
Afrika:K haitaandaa kombe la Afrika
Waziri wa Michezo wa Afrika kusini Fikile Mbalula amesema taifa lake haliko tayari kuandaa dimba la kombe la Afrika endapo taifa la Morrocco itakataa
10 years ago
BBCSwahili31 Aug
Kombe la Mataifa ya Afrika
Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika itaendelea ilivyopangwa pamoa na kuwepo Ebola.
10 years ago
BBCSwahili12 Jan
Maandalizi:Kombe la Mataifa ya Afrika
Timu mbali mbali zitakazoshiriki Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zinaendelea kujinoa kwa ajili ya fainali hizo.
10 years ago
BBCSwahili11 Dec
Maandalizi ya kombe la Afrika yaendelea
Wiki tano zimebaki kuanza rasmi kwa michuano ya kombe la Afrika,huko Equatorial Guinea ambao ni wenyeji wa mashindano hayo.
10 years ago
BBCSwahili11 Jun
Kombe la mataifa ya Afrika 2017
Timu ya taifa ya Misri (Pharaohs) imeitumia salamu Taifa Stars ya Tanzania baada ya kuwafunga Malawi 2-1 katika mechi ya kirafiki.
10 years ago
BBCSwahili03 Nov
Kombe la mataifa Afrika kitendawili
Maafisa wa CAF wataamua hii leo kuahirisha michuano ya kombe la mataifa ya Afrika au la
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania