Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wageni wakaguliwa kubaini ebola

WAGENI wanaoingia visiwani Zanzibar kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amaan Karume, wameanza kukaguliwa kwa kutumia vifaa vya kugundua dalili za ugonjwa wa homa ya ebola.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Waziri Masauni aitaka Uhamiaji kuanza Operesheni ya kubaini wageni wanaofanya kazi zinazoweza kufanywa na watanzania

 

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imeiagiza Idara ya Uhamiaji nchini kuanza Operesheni maalum ya kuwabaini wageni walioingia na kufanya kazi ambazo sio za kitaalamu zinazoweza kufanywa na Watanzania ili kuwachukulia hatua ya kuwaondosha.

Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhandisi Hamad Masauni baada ya kutembelea Makao Makuu ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar Es Salaam na kuzungumza na makamishna wa idara hiyo.

Akiwa katika ofisi hizo kukagua shughuli zinazoendelea kwenye...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wageni kupimwa Ebola kombe la Afrika

Chama cha soka Africa (CAf) kimetangaza kufanyika kwa vipimo vya ugonjwa wa ebola katika michuno ya kombe la Mataifa ya afrika.

 

10 years ago

GPL

VIFAA VYA KUBAINI DALILI ZA AWALI ZA UGONJWA WA EBOLA KUPITIA JOTO LA MWILI VYAWASILI NCHINI, KUANZA KUTUMIKA VIWANJA VYA NDEGE

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Kebwe Steven Kebwe (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa Afya na Usafi wa Mazingira wa Wizara ya Afya na Ustawi Dkt. Elias Chinamo moja ya kifaa (kamera) itakayotumika kupima dalili za ugonjwa wa Ebola kwa wasafiri wanaoingia nchini kupitia viwanja vya ndege ili kuhakikisha kuwa wananchi wanakuwa salama kwa kuuzuia ugonjwa huo kuingia nchini.… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

NASA yashindwa kubaini vimondo

Shirika la safari za anga la juu nchini Marekani NASA,imeoneshwa ukinzani kutokana na kushindwa kung'amua vitu vya hatari angani.

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchunguzi wa DNA kubaini wauaji Thailand

Polisi nchini Thailand wameimarisha hatua za uchunguzi wa DNA kwenye kisiwa cha Koh Tao kubaini waliwaua waingereza 2

 

11 years ago

Mwananchi

Teknolojia yafanikisha kubaini dawa za kulevya

Teknolojia ya kisasa inayotumika katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kukabiliana na dawa za kulevya imeonyesha mafanikio katika kuwabaini wanaojishughulisha na usafirishaji wa dawa hizo.

 

11 years ago

Habarileo

Mitambo ya kubaini ulaghai kwenye simu

SERIKALI imeweka mitambo ya aina tatu kukabili ulaghai na udanganyifu kwenye mawasiliano na miamala ya simu za mkononi.

 

10 years ago

Mwananchi

Mashine za kubaini bidhaa haramu zaja

>Serikali inatarajia kupokea mashine za kieletroniki (Scanner) kutoka China na Marekani zitakazosaidia kubaini bidhaa haramu ikiwa ni jitihada za kudhibiti vitendo vya kihalifu katika mipaka, bandari na viwanja vya ndege.

 

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU MWANZA KUBAINI MAMLUKI MICHEZO YA MEI MOSI



 Wajumbe wa Kamati ya Michezo ya mashindano ya Mei Mosi wakiwa kwenye kikao cha Kwanza cha maandalizi ya michezo hiyo kilichofanyika mwishoni mwa wiki kwenye ukumbi wa mikutano wa Chuo cha Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) mkoani Morogoro.Katibu Mkuu wa Kamati ya Michezo ya mashindano ya Mei Mosi, Moshi Makuka  (aliyenyoosha mikono) ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani