Wagombea Songea waaswa kutumia kauli za kistaarabu
Wagombea wa Jimbo la Songea mkoani Ruvuma wametakiwa kuwa makini na kauli watakazozitoa katika kampeni za uchaguzi mkuu.
Mkurugenzi wa Uchaguzi Jimbo la Songea Mjini Zacharia Nachoa amesema anategemea kuwa wagombea watatii na kufuata taratibu na kanuni kwa kujinadi kistaarabu bila kuleta chuki kama ilivyo historia ya Jimbo hilo.
Mkurugenzi wa Uchaguzi Jimbo la Songea Mjini Zacharia Nachoa amesema , mpaka sasa vyama vilivyochukua fomu za Ubunge ni chama cha ACT Wazalendo na CCM, ambapo...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziVYAMA VYA SIASA VYATAKIWA KUTUMIA LUGHA ZA KISTAARABU KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-tOQX6TzSng8/VFBrvGHV1WI/AAAAAAACt5M/zP2vENpxUps/s72-c/1.jpg)
Wananchi waaswa kuwa makini na kauli za wanasiasa-IPTL
![](http://4.bp.blogspot.com/-tOQX6TzSng8/VFBrvGHV1WI/AAAAAAACt5M/zP2vENpxUps/s1600/1.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima29 Jan
Vijana waaswa kutumia michezo
VIJANA mkoani Arusha, wameshauriwa kutumia michezo kama sehemu muhimu ya kukuza uhusiano na vipaji walivyonavyo ili kujiepusha na mambo yanayoharibu sifa na haiba zao katika jamii. Ushauri huo umetolewa na...
10 years ago
Habarileo09 Feb
Waaswa kutotumia nyumba za ibada kunadi wagombea
VIONGOZI wa madhehebu mbalimbali ya dini nchini wametakiwa kuacha tabia ya kuwakumbatia na kuwanadi baadhi ya wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi mbele ya waumini wao kwa kutumia nyumba za ibada.
10 years ago
Vijimambo07 Apr
Wagombea urais CCM wafunguka kauli ya Rais Kikwete
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2677850/highRes/986711/-/maxw/600/-/14hhh15/-/kikwete.jpg)
Dar es Salaam. Siku chache baada ya Rais Jakaya Kikwete kusema kuwa nafasi hiyo ni kadhia na kazi ngumu, baadhi ya wanasiasa waliotangaza nia ya kuwania nafasi hiyo wamesema wanafahamu changamoto hizo na kwamba kauli hiyo inazidi kuwapa nguvu na hamasa ya kuendelea na mchakato huo.Wiki iliyopita, Rais Kikwete akiwa Marekani, wakati akihutubia kwenye taasisi...
11 years ago
Habarileo21 Dec
Waaswa kutumia mfumo mpya kufunza ujasiriamali
WAKUU wa vyuo vya ufundi vya serikali na binafsi nchini wametakiwa kutumia mfumo mpya wa ufundishaji wa somo la ujasiriamali ambao unafundisha kinadharia tofauti na ilivyokuwa hapo awali.
11 years ago
Mwananchi18 Jun
Wakulima nchini waaswa kutumia kilimo cha mseto
10 years ago
StarTV05 Jan
Viongozi waaswa kutumia maarifa, busara kuilinda Amani.
Na Abdalla Pandu,
Zanzibar.
Viongozi nchini hawana budi kutumia maarifa na busara kuhakikisha wanalivusha salama Taifa mwaka 2015 hasa katika kipindi cha uchaguzi mkuu na maoni ya Katiba vinavyotarajiwa kufanyika mwaka huu.
Kukosekana kwa umakini na busara kwa viongozi hao kunadaiwa kuwa kunaweza kulifikisha mahali pabaya Taifa.
Ni wakati wa kongamano maalum la kukumbusha wajibu wa kaya na familia na malezi bora kwa vijana lililofanyika katika kanisa la Waadventista Wasabato Chuwini...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-wvSg1k-0tEA/VgFFde28LaI/AAAAAAAC_Zc/7PSplGo2VGA/s72-c/IMG_9057.jpg)
WATUMIAJI WA PROGRAMU ZA KOMPUTA WAASWA KUTUMIA PROGRAM HALISI —COSOTA
![](http://2.bp.blogspot.com/-wvSg1k-0tEA/VgFFde28LaI/AAAAAAAC_Zc/7PSplGo2VGA/s640/IMG_9057.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-HQZo7JErUiA/VgFFdKM8GjI/AAAAAAAC_ZY/fSCTRFjoDR4/s640/IMG_9047.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-lIViDcYmCk8/VgFFdkbfjZI/AAAAAAAC_Zg/gXc2_ZgB378/s640/IMG_9077.jpg)