WAGONJWA 37 WARUHUSIWA BAADA YA KUPONA CORONA
Na.WAMJW-Dar es Salaam.
Wagonjwa 37 waliokuwa wameambukizwa virusi vya Corona (COVID-19) wamepona na kuruhusiwa kurejea nyumbani baada ya vipimo vya mwisho kuthibitisha kwamba hawana maambukizi ya COVID-19.
Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wakati akipokea msaada wa sabuni na fedha kutoka kampuni ya Azam group ya jijini hapa
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema kuwa wagonjwa hao 37 ni kati...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWagonjwa 37 waruhusiwa baada ya kupona
Wagonjwa 37 waliokuwa wameambukizwa virusi vya Corona (COVID-19) wamepona na kuruhusiwa kurejea nyumbani baada ya vipimo vya mwisho kuthibitisha kwamba hawana maambukizi ya COVID-19.
Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wakati akipokea msaada wa sabuni na fedha kutoka kampuni ya Azam group ya jijini hapa
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema kuwa wagonjwa hao 37 ni...
5 years ago
BBCSwahili18 Jun
Luciana Campagnoli: Afariki kutokana na saratani baada ya kupona corona
5 years ago
BBCSwahili24 May
Idadi ya wagonjwa wa corona nchini Kenya yafikia 1,214 baada ya kutangazwa wagonjwa wapya 22
5 years ago
BBCSwahili17 Apr
Virusi vya corona: Idadi ya wagonjwa Tanzania yafika 147 baada ya wagonjwa 53 zaidi kukutwa na virusi hivyo
5 years ago
MichuziKenya imethibitisha kuwa na wagonjwa wapya 16 wa corona, baada ya kuwafanyia vipimo watu 530.
Hadi sasa Kenya imefikisha idadi ya watu 142 wenye maambukizi ya Corona.
Wizara ya afya nchini Kenya imetaarifu kuwa katika visa vipya 16, raia wa Kenya ni 15 na mmoja anatokea Nigeria.
Raia 11 kati ya hao wana historia ya kusafiri nje ya nchi ilihali 5 ni raia wa eneo.
Watu 12 ni kutoka mji mkuu wa Kenya Nairobi, wengine watatu wanaishi Mombasa 3 na mmoja kutoka Kilifi.
Waliokutwa na maambukizi mapya ni wennye umri kati ya miaka 22 na 66, wanaume ni tisa na wanawake saba.
Kati ya...
5 years ago
CCM BlogSIMIYU: WATU 34 WARUHUSIWA WALIOKUWA KATIKA UANGALIZI WA VIRUSI VYA CORONA
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka akizungumza na waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato Bariadi Mjini, Aprili 18, 2020 ambapo ameshiriki katika ibada ambayo waumini hao wameitikia wito wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli kwa Watanzania wote kuingia katika maombi ya siku tatu ( Aprili 17-19, 2020) kuliombea Taifa ili Mungu aliponye na janga la Corona
5 years ago
BBCSwahili05 Jun
Virusi vya corona: Mombasa yathibitisha wagonjwa 67 huku jumla ya wagonjwa ikifikia 2,474 kenya
5 years ago
BBCSwahili14 May
Virusi vya corona: Idadi ya wagonjwa Kenya yafikia 758, huku wagonjwa wengine 21 wakithibitishwa
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-OpoGhKJhAsc/Xo6uBu9EY0I/AAAAAAALmlo/xDUyOLUnZFgFvY-0yJ_3T6eNSXhvdqOVQCLcBGAsYHQ/s72-c/PICHA%2B1.jpg)
Kamati ya Makatibu wakuu ya kukabiliana na Corona yatembelea hosteli za Magufuli, Wahisiwa 72 waruhusiwa
Wasafiri 226 kutoka nchi mbalimbali za nje walipelekwa karantini katika hosteli hizo na kwamba wasafiri wasafiri 72 wameruhusiwa kurejea nyumbani na hivyo...