Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wagosi wa Kaya warudi na Uamsho

>Mara ya mwisho kupanda jukwaani ilikuwa ni mwaka 2006 katika onyesho la kufunga mwaka lililofanyika katika ukumbi wa La Cassa Chika huko mkoani Tanga. Lilikuwa kundi la muziki lililojumuisha vijana wawili ambao walikuwa wakiongea kwa mara ya kwanza mambo muhimu yanayoihusu kwa karibu kabisa jamii ya Watanzania hasa waishio mkoa wa Tanga.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

9 years ago

Bongo5

Wagosi wa Kaya yavunjika rasmi, Dokta John aanzisha kundi lake

Wagosi wa Kaya

Msanii wa kundi la Wagosi wa Kaya, Dokta John amethibitisha kufa kwa kundi hilo na kwamba ameanzisha kundi jipya mjini Tanga liitwalo The Family.

Wagosi wa Kaya

“Ni kwamba mimi kama Dokta John kutoka kundi la Wagosi wa Kaya nimeamua sasa hivi kuanzisha familia yangu kwa malengo mazuri tu ya kufanya Tanga sasa hivi isikike katika muziki huu wa Hip Hop,” Dkt. John alikiambia kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio.

“Na suala la huhusu harakati za albamu ya Wagosi wa Kaya, watu wangesoma...

 

10 years ago

Michuzi

WAGOSI WA KAYA WAKANUSHA TAARIFA YA WANA KIMANUMANU JUU YA KIPA KIJANA FIKIRI SULEIMANI MAPARA

UONGOZI wa Klabu ya Coastal Union "Wagosi Kaya" umekanusha vikali taarifa zilizizoenezwa kuwa mlinda mlando wa kikosi cha Vijana wenye umri chini ya miaka ishirikini U-20 Fikirini Suleimani “Mapara" kuwa amesajiliwa na Klabu ya African Sports “Wanakimanumanu”
Umesema taarifa hizo hazina ukweli wowote bali Fikirini bado ni mchezaji halali wa Klabu ya Coastal Union ya Tanga na ni miongoni mwa wachezaji watakaoonekana kwenye kikosi hicho msimu ujao.
Taarifa iliyotolewa leo kwa nyombo vya Habari...

 

9 years ago

Michuzi

NHIF YAJA NA MPANGO WA BIMA YA AFYA KAYA KWA KAYA

 Mwakilishi wa Kaimu Mkuruegenzi Mkuu wa NHIF, Eugen Mikongoti akifungua kikao kilichowashirikisha wenyeviti wa bodi na makatibu wa Vituo Vya Afya, Zahanati na Hospitali wa Manispaa ya Temeke juu ya mpango wa bima ya afya kwa kayo iliyofanyika leo jijni Dar es Salaam. Meneja wa Mkoa wa Temeke wa NHIF, Costantino Makala akitoa maada katika kikao hicho leo latika ukumbi wa Temeke jijini Dra es Salaam.wa katikati ni Mwakilishi wa Kaimu Mkuruegenzi Mkuu wa NHIF,Eugen Mikongoti Kushoto ni Mganga...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kaya 19 zilizopo katika mpango wa kunusuru kaya maskini zakosa malipo yao Manyoni

SAM_0215

Baadhi ya wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya maskini wa Kijiji cha Sukamahela, tarafa ya Kilimatinde waliokosa malipo yao licha ya kuwa na taarifa na fomu za kupokelea malipo hayo, na kujikuta wakikaa kwa muda wa zaidi ya saa tano wakisubiri kuitwa wakapokee malipo hayo.

SAM_0229

Mwenyekiti wa Kijiji cha Sukamahela, Bwana Stephen Chilewa Mgusi (wa kwanza kutoa kulia), Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Sukamahela, Bwana Ernesti Gyunda Kitundu (wa pili kutoka kulia) na Mwezeshaji wa TASAF wilaya ya...

 

11 years ago

Habarileo

'Ukawa warudi bungeni'

MWENYEKITI wa Chama Cha Kijamii (CCK) na Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Constantine Akitanda amesema juhudi zao walizoanzisha na chama cha NRA, zimelenga kuhakikisha kuwa wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wanarejea bungeni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani