Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAGOSI WA KAYA WAKANUSHA TAARIFA YA WANA KIMANUMANU JUU YA KIPA KIJANA FIKIRI SULEIMANI MAPARA

UONGOZI wa Klabu ya Coastal Union "Wagosi Kaya" umekanusha vikali taarifa zilizizoenezwa kuwa mlinda mlando wa kikosi cha Vijana wenye umri chini ya miaka ishirikini U-20 Fikirini Suleimani “Mapara" kuwa amesajiliwa na Klabu ya African Sports “Wanakimanumanu”
Umesema taarifa hizo hazina ukweli wowote bali Fikirini bado ni mchezaji halali wa Klabu ya Coastal Union ya Tanga na ni miongoni mwa wachezaji watakaoonekana kwenye kikosi hicho msimu ujao.
Taarifa iliyotolewa leo kwa nyombo vya Habari...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Mwananchi

Wagosi wa Kaya warudi na Uamsho

>Mara ya mwisho kupanda jukwaani ilikuwa ni mwaka 2006 katika onyesho la kufunga mwaka lililofanyika katika ukumbi wa La Cassa Chika huko mkoani Tanga. Lilikuwa kundi la muziki lililojumuisha vijana wawili ambao walikuwa wakiongea kwa mara ya kwanza mambo muhimu yanayoihusu kwa karibu kabisa jamii ya Watanzania hasa waishio mkoa wa Tanga.

 

10 years ago

StarTV

Taarifa juu ya Kijana aliyekutwa amefariki hotelini Jijini Arusha.

Mtu mmoja  mfanyabiashara wa mabegi jijini Arusha amekutwa amefariki dunia katika chumba cha hoteli  huku akiwa amekatwa  baadhi ya viungo vya mwili wake.

Kijana huyo aliyetambulika  kwa jina moja la Mandela anaekadiriwa kuwa na umri kati ya  miaka kumi na tisa na thelathini anayesadikika kuwa  ni mfanyabiashara wa mabegi jijini Arusha amekutwa katika chumba cha hoteli ya Asquare Belmont huku  baadhi ya viungo vyake vya mwili vikiwa vimekatwa,ikiwemo viganja vya mikono, sehemu za siri na...

 

9 years ago

Bongo5

Wagosi wa Kaya yavunjika rasmi, Dokta John aanzisha kundi lake

Wagosi wa Kaya

Msanii wa kundi la Wagosi wa Kaya, Dokta John amethibitisha kufa kwa kundi hilo na kwamba ameanzisha kundi jipya mjini Tanga liitwalo The Family.

Wagosi wa Kaya

“Ni kwamba mimi kama Dokta John kutoka kundi la Wagosi wa Kaya nimeamua sasa hivi kuanzisha familia yangu kwa malengo mazuri tu ya kufanya Tanga sasa hivi isikike katika muziki huu wa Hip Hop,” Dkt. John alikiambia kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio.

“Na suala la huhusu harakati za albamu ya Wagosi wa Kaya, watu wangesoma...

 

11 years ago

Michuzi

UHAMIAJI WAKANUSHA JUU YA MHAMIAJI ALIYEDAIWA KUTOROSHWA

IMG-20140618-WA0007 Afisa Uhamiaji wa mkoa wa Arusha Daniel Nanomba akikanusha vikali taarifa za  aliyekuwa Meneja Mauzo wa kampuni ya Tanzanite One,Jaques Beytel anayedaiwa kutoroshwa IMG-20140618-WA0006 Jaques Beytel anayedaiwa kutoroshwa   IMG-20140618-WA0008 Waandishi wa habari wakiwa kazini
Afisa Uhamiaji wa mkoa wa Arusha Daniel Nanomba amekanusha vikali taarifa za  aliyekuwa Meneja Mauzo wa kampuni ya Tanzanite One,Jaques Beytel anayedaiwa kutoroshwa na kueleza kuwa mtu huyo alipatiwa notice ya kuondoka nchi ambapo Juni 10 mwaka huu...

 

10 years ago

GPL

WAKUU WA MADEREVA, BODABODA DAR WAKANUSHA TAARIFA ZA MAANDAMANO

Mwenyekiti wa Chama cha Madereva wa Bodaboda na Bajaj Wilaya ya Temeke, Said Kagomba, akihojiwa na wanahabari. Katibu wa Chama cha Madereva wa Bodaboda na Bajaj Wilaya ya Ilala, Michael Roswe, akitoa ufafanuzi kwa wanahabari juu ya uvumi huo. WENYEVITI wa vyama mbalimbali vya madereva mkoani Dar es…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani