Wagosi wa Kaya yavunjika rasmi, Dokta John aanzisha kundi lake
Msanii wa kundi la Wagosi wa Kaya, Dokta John amethibitisha kufa kwa kundi hilo na kwamba ameanzisha kundi jipya mjini Tanga liitwalo The Family.
“Ni kwamba mimi kama Dokta John kutoka kundi la Wagosi wa Kaya nimeamua sasa hivi kuanzisha familia yangu kwa malengo mazuri tu ya kufanya Tanga sasa hivi isikike katika muziki huu wa Hip Hop,” Dkt. John alikiambia kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio.
“Na suala la huhusu harakati za albamu ya Wagosi wa Kaya, watu wangesoma...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi15 Sep
11 years ago
Mwananchi03 May
Wagosi wa Kaya warudi na Uamsho
10 years ago
Michuzi17 Aug
WAGOSI WA KAYA WAKANUSHA TAARIFA YA WANA KIMANUMANU JUU YA KIPA KIJANA FIKIRI SULEIMANI MAPARA
Umesema taarifa hizo hazina ukweli wowote bali Fikirini bado ni mchezaji halali wa Klabu ya Coastal Union ya Tanga na ni miongoni mwa wachezaji watakaoonekana kwenye kikosi hicho msimu ujao.
Taarifa iliyotolewa leo kwa nyombo vya Habari...
9 years ago
Bongo531 Dec
Quick Rocka aanzisha kundi jipya la muziki ‘One G’
![_K0A2053](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/K0A2053-300x194.jpg)
Quick Rocka ameanzisha kundi jipya liitwalo ‘One G.’
Amesema kundi hilo litakuwa chini ya label yake, Switch.
“Kubwa zaidi 2016 ni ujio wa kundi la wasanii wangu One G kupitia record label yangu Switch na producer wangu Luffa,” aliiambia Bongo5.
“Kwahiyo mwaka unaokuja tutaanza nao kwa sababu tayari wana ngoma yao mpya pamoja na video. Lengo letu ni kupeleka muziki mbele na kuleta ushindani mpya kwenye muziki na wasanii wachanga watoke,” alisema.
Hata hivyo Quick amesema ujio wa kundi hilo...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-G2EsB_s4pV4/VEVffbhv8oI/AAAAAAABKIA/dPzVzluTDZA/s72-c/10610571_10153182179915283_6800366833765119302_n.jpg)
9 years ago
Bongo523 Oct
Sisqo na kundi lake la Dru Hill kutumbuiza Kenya Jumamosi hii