Wahadharishwa kutochukua sheria mikononi
WANANCHI katika Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma wametakiwa kuelewa umuhimu wa kutatua migogoro kwa majadiliano na mashauriano badala ya kujichukulia sheria mkononi. Hayo yalibainishwa juzi na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) David Misime alipofanya ziara ya kutembelea tarafa nne za Wilaya ya Kondoa.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMAKALA YA SHERIA: HAYA YATAKUSAIDIA UWAPO MIKONONI MWA POLISI
1.JE KITU GANI KIFANYKE ASKARI ANAPOKUNYIMA DHAMANA.
Kwanza ieleweke kuwa dhamana ni haki yako. Haki ni jambo la lazima. Haki ya dhamana inaruhusiwa kunyimwa katika makosa machache sana kwa mfano uhaini, wizi wa silaha, mauaji n.k. Makosa mengine madogo madogo hasa haya ya kila siku ya kutukana, kudhalilisha, kupigana, ajali ndogo, wizi usio wa silaha, na mengine dhamana ni lazima. Hata hivyo makosa ambayo hayaruhusiuwi...
9 years ago
StarTV25 Nov
 Mbunge wa Singida Magharibi atangaza kutochukua posho za  vikao vya bunge
Mbunge wa Singida Magharibi kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Elibariki Kingu ametangaza azma yake ya kutochukua posho za vikao vya Bunge kwa muda wa miaka mitano ili fedha hizo zikasaidie wananchi wake.
Uamuzi huo umekuja kwa kile alichodai kuwa, Serikali imekuwa ikitumia fedha nyingi kugharamia mahitaji yasiyo ya lazima ikiwa ni pamoja na posho hizo wakati hayo yote ni sehemu ya majukumu yao.
Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu akitoa mchanganuo wa fedha anazolipwa Mbunge mmoja kwa...
9 years ago
Habarileo07 Nov
Bahi wahadharishwa magonjwa ya mlipuko
MKUU wa Wilaya ya Bahi, Francis Mwonga, ametaka wananchi kuchukua tahadhari dhidi magonjwa ya mlipuko yanayoweza kujitokeza katika kipindi hiki cha majanga yanayotokana na mvua.
10 years ago
Habarileo05 Apr
Wananchi wahadharishwa kuwa makini
JESHI la Polisi nchini, limetoa tahadhari kwa wananchi kuwa makini katika suala zima la ulinzi na usalama wa maisha na mali zao.
10 years ago
Habarileo05 Apr
Wananchi wahadharishwa kuwa majini
JESHI la Polisi nchini, limetoa tahadhari kwa wananchi kuwa makini katika suala zima la ulinzi na usalama wa maisha na mali zao.
9 years ago
Habarileo09 Dec
Wahadharishwa kujenga eneo la hospitali
WANANCHI wanaoishi karibu na eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa katika kijiji cha Binguni, Wilaya ya Kati Unguja wametakiwa kutolitumia eneo hilo kwa shughuli yoyote ya ujenzi kujiepusha na hasara inayoweza kuwapata.
11 years ago
Habarileo30 Mar
Wahadharishwa kutojiunga na mifuko ya hifadhi kiholela
WALIMU wapya wameshauriwa kutokubali kuandikishwa kuingia kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii katika mazingira yasiyo rasmi na badala yake wafike katika ofisi za wakurugenzi zilizoko katika halmashauri walizopangiwa.
10 years ago
Tanzania Daima23 Sep
Yondani mikononi mwa TFF
BENCHI la ufundi la timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars chini ya kocha wake Mart Nooij, limesema halitambui sababu za beki wa timu hiyo Kelvin Yondani kushindwa kwenda kambini,...
10 years ago
Tanzania Daima18 Sep
Mbowe mikononi mwa polisi
JOPO la Mawakili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), na wanachama wa chama hicho, leo wamepanga kumsindikiza mwenyekiti wao Freeman Mbowe aliyeitwa Makao Makuu ya Polisi kwa ajili ya...