Wahamiaji:Italia na Ufaransa zatofautiana
Italia imeikashifu Ufaransa kwa kuwafungia mlango kwa siku 4 kwa wahamiaji waliokuwa wakijaribu kuingia nchini humo
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili16 Feb
Italia yawaokoa maelfu ya wahamiaji
Kikosi cha ulinzi wa pwani ya Italia kimesema kimewaokoa zaidi ya wahamiaji elfu mbili kutoka Afrika
10 years ago
BBCSwahili17 Apr
Wahamiaji wazidi kuokolewa Italia
Maelfu ya wahamiaji kutoka Afrika wameendelea kuokolewa katika pwani ya Italia wakilenga kuingia barani Ulaya
10 years ago
BBCSwahili07 Aug
Wahamiaji 300 wafikishwa Italia
Zaidi ya watu 300 waliookolewa baada ya boti kupinduka karibu na ufuo wa Libya siku ya jumatano wamewasili nchini Italia
5 years ago
BBCSwahili22 May
Wahamiaji haramu watumia muziki kusahau shida zao Italia
Wahamiaji haramu watumia muziki kusahau shida zao Italia.
11 years ago
BBCSwahili28 May
Wahamiaji wahamishwa Ufaransa
Polisi mjini Calais, Kaskazini mwa ufaransa, wanatarajiwa kuwatimua wahamiaji 800 kutoka Asia , Mashariki ya Kati na Afrika wanaoishi katika eneo lililo karibu na bandari
10 years ago
BBCSwahili29 Jul
Uingereza ,Ufaransa kuwakabili wahamiaji
Kampuni wa usafiri inayofanya safari zake kati ya Ufaransa na Uingereza ya Eurotunnel imesema maelfu ya wahamiaji wanaovuka kwenda Uingereza.
9 years ago
BBCSwahili20 Nov
Magaidi walijifanya wahamiaji:Ufaransa
Waziri mkuu wa Ufaransa,Manuel Valls, amesema kwamba waliotekeleza shambulio walijifanya Wahamiaji.
9 years ago
BBCSwahili03 Oct
Wahamiaji 200 waingia kwa reli Ufaransa
Zaidi ya wahamiaji 200 wamefanikiwa kuvunja vizuizi vya usalama kwenye reli inayounganisha Uingereza na Ufaransa
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania