Wahamiaji 200 waingia kwa reli Ufaransa
Zaidi ya wahamiaji 200 wamefanikiwa kuvunja vizuizi vya usalama kwenye reli inayounganisha Uingereza na Ufaransa
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili20 Oct
Hatimaye Wahamiaji waingia Slovenia
Slovenia imewaruhusu wakimbizi na wahamiaji wote waliokuwa wamekwama katika mpaka wake na Croatia kuingia nchini mwao.
9 years ago
BBCSwahili19 Oct
Mamia ya wahamiaji waingia Slovenia
Mamia ya wahamiaji wamevuka na kuingia Slovenia kutoka Croatia leo, baada ya Serikali ya Hungari kufunga mpaka wao.
11 years ago
BBCSwahili28 May
Wahamiaji wahamishwa Ufaransa
Polisi mjini Calais, Kaskazini mwa ufaransa, wanatarajiwa kuwatimua wahamiaji 800 kutoka Asia , Mashariki ya Kati na Afrika wanaoishi katika eneo lililo karibu na bandari
10 years ago
BBCSwahili29 Jul
Uingereza ,Ufaransa kuwakabili wahamiaji
Kampuni wa usafiri inayofanya safari zake kati ya Ufaransa na Uingereza ya Eurotunnel imesema maelfu ya wahamiaji wanaovuka kwenda Uingereza.
10 years ago
BBCSwahili16 Jun
Wahamiaji:Italia na Ufaransa zatofautiana
Italia imeikashifu Ufaransa kwa kuwafungia mlango kwa siku 4 kwa wahamiaji waliokuwa wakijaribu kuingia nchini humo
9 years ago
BBCSwahili20 Nov
Magaidi walijifanya wahamiaji:Ufaransa
Waziri mkuu wa Ufaransa,Manuel Valls, amesema kwamba waliotekeleza shambulio walijifanya Wahamiaji.
10 years ago
BBCSwahili11 Feb
Wahamiaji 200 wafa bahari ya Mediterani
Zaidi ya wahamiaji 200 wamekufa baada ya boti walizokuwa wakisafiria kuzama katika bahari ya Mediterani.
9 years ago
BBCSwahili28 Aug
Zaidi ya wahamiaji 200 waangamia Libya
Zaidi ya wahamiaji 200 wanahofiwa kufariki baada ya mashua walimokuwa wakisafiria kuzama pwani ya Libya
10 years ago
KwanzaJamii16 Sep
ZAIDI YA WAHAMIAJI 200 WAFA MAJI WAKITOKEA LIBYA
Wahamiaji wengi kutoka Libya wameripotiwa kupoteza maisha yao baada ya mashua waliyokuwa wakisafiria kuzamaikielekea upande wa Italia.
Kwa mujibu wa wanajeshi wa majini wa Libya, watu hao walikuwa wakijaribu kuvuka kuelekea Ulaya.
Msemaji wa majeshi ya majini ya Libya, Ayub Qassem amethibitisha watu 36 wameokolewa baada ya mashua yao iliyokuwa imebeba watu 250 ilipozama karibu na eneo la Tajoura, mashariki mwa Tripoli.
Hata hivyo, amefichua ya kwamba maiti nyingi bado zinaelea...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania