WAIMBA INJILI WALIOTESWA NA NDOA

KWA kawaida, watumishi wa kanisa au watu wanaofuata sana maadili ya dini, huchukuliwa kuwa ndiyo mifano bora katika jamii nyingi duniani. Hawa ni pamoja na Mashehe, Mapadre, Wachungaji, Waimba Injili na wengine wa aina hiyo. Hata hivyo, kibinadamu, baadhi yao hushindwa kuhimili, kuvumilia au kukabiliana na matatizo yanayotokea katika ndoa zao na kujikuta wakiridhia kufarakana, licha ya kuwa huwa tayari wameshaanzisha familia zenye...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
WAIMBA INJILI WANA NINI?
10 years ago
GPL
WAIMBA INJILI WAMTENGA ROSE MHANDO
11 years ago
GPL
AJALI, VIFO KWA WAIMBA INJILI UCHAWI WATAJWA
10 years ago
GPL
FLORA IMARISHA NDOA YAKO?, ?INJILI ITANOGA KWELI?!?
10 years ago
GPL
TATIZO NI WANAWAKE WENYE MSHIKO AU WALIOTESWA?
10 years ago
Mtanzania06 May
Khadija Kopa: Waimba taarabu wa sasa wamejaa woga na chuki
NA FESTO POLEA
MWIMBAJI wa Taarabu, Khadija Kopa (Malikia Khadija Kopa) ameweka wazi kwamba waimbaji wa taarabu wa siku hizi wanaongozwa na wivu, woga na chuki, ndiyo maana taarabu inaonekana kufa.
Khadija Kopa alisema hayo jana, alipotembelea ofisi za New Habari (2006) Ltd, Sinza Kijiweni, inayochapisha magazeti ya Bingwa, Dimba, Mtanzania, The African na Rai.
“Wasanii wa taarabu wa sasa wanajenga sana chuki, tofauti na sisi wa zamani tulikuwa tunatengeneza biashara kutokana na ushindani...
10 years ago
Michuzi
MAKALA YA SHERIA: MKE ASIYE WA NDOA NA MTOTO WA NJE YA NDOA HAWARITHI KISHERIA

Kumekuwepo na utata mkubwa kuhusu urithi wa mali za marehemu hasa inapotokea kuwa marehemu alikuwa na mke zaidi ya mmoja na hapohapo watoto wanaotokana na mama tofauti. Tumeshashuhudia magomvi makubwa misibani lakini pia tumeshuhudia na tunaendelea kushuhudia utitiri wa mashauri kuhusu mkanganyiko wa mali za marehemu ambaye familia yake ni ya watoto wanatokana na mama tofauti. Kutokana na hayo kuna umuhimu mkubwa wa...
5 years ago
Michuzi
DKT.MAGUFULI ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CCM...WANA CCM WAIMBA 'MAGUFULI BABA LAOO'
Na Said Mwishehe,Michuzi TV.
RAIS Dk.John Magufuli amechukua fomu ya kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) leo Juni 17,mwaka 2020 katika Makao ya Chama hicho Jijini Dodoma.
Dk.Magufuli anachukua fomu hiyo kwa ajili ya kuomba tena ridhaa ya kugombea nafasi hiyo kwa tiketi ya CCM ikiwa ni awamu ya pili baada ya kumaliza awamu ya kwanza ya miaka mitano iliyoanzia mwaka 2015 mpaka mwaka 2020.Uchuguzi Mkuu mwaka huu unatarajia kufanyika...
10 years ago
Dewji Blog20 Jun
Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971, chanzo cha ongezeko la mimba na ndoa za utotoni nchini
Mratibu wa Utetezi Taifa, SOS Tanzania/Zanzibar, John Batista, akizungumza katika Mdahalo wa Nijali uliolenga ndoa za utotoni na mimba za utotoni kwa kushirikisha Chama cha Waandishi wa Habari za Watoto, (TAJOC) na wengine, uliofanyika leo katika Hoteli Regency jijini Dar es Salaam.
Na Andrew Chale, Modewjiblog.com
Imeelezwa kuwa, kuongezeka kwa ndoa za utotoni inatokana na sheria ya ndoa ya mwaka 1971 kuendelea kutumika wakati hali yake ni mbaya kwa watoto wakike kushindwa kufikia ndoto...