WAIMBA INJILI WANA NINI?
Stori:Na Mwandishi Wetu MENGI yameibuka kufuatia waimba Injili Bongo kukumbwa na kashfa mbalimbali zikiwemo ndoa zao kuvunjika, madai ya kuchepuka, kupata ujauzito nje ya ndoa na matumizi ya madawa ya kulevya, Uwazi limechimba na kuchimbua. Janet Mreme akiwa na mume wake Jonas Mrema. BADO JINAMIZI LA KUVUNJA NDOA LAWAANDAMA Mpaka sasa, waimba Injili wanawake wameshakumbwa na mikasa mbalimbali lakini mpya kabisa ni madai ya...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLWAIMBA INJILI WALIOTESWA NA NDOA
10 years ago
GPLWAIMBA INJILI WAMTENGA ROSE MHANDO
11 years ago
GPLAJALI, VIFO KWA WAIMBA INJILI UCHAWI WATAJWA
5 years ago
MichuziDKT.MAGUFULI ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CCM...WANA CCM WAIMBA 'MAGUFULI BABA LAOO'
Na Said Mwishehe,Michuzi TV.
RAIS Dk.John Magufuli amechukua fomu ya kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) leo Juni 17,mwaka 2020 katika Makao ya Chama hicho Jijini Dodoma.
Dk.Magufuli anachukua fomu hiyo kwa ajili ya kuomba tena ridhaa ya kugombea nafasi hiyo kwa tiketi ya CCM ikiwa ni awamu ya pili baada ya kumaliza awamu ya kwanza ya miaka mitano iliyoanzia mwaka 2015 mpaka mwaka 2020.Uchuguzi Mkuu mwaka huu unatarajia kufanyika...
11 years ago
Tanzania Daima31 Jan
Nini hasa fahari ya waimbaji wa Injili?
”KILA mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe, kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe, kila mtu atatoa hesabu yake mwenyewe siku hiyo ikifika…” Hiki ni kipande cha wimbo ambao ulivuma na kupendwa...
11 years ago
Tanzania Daima13 Dec
Wasanii nyimbo za Injili kujichubua, tujifunze nini?
HAKUNA jambo ambalo linanikera kama mtu anapobadili rangi ya ngozi yake, kwani hivi sasa imeshakuwa fasheni si tu kwa wanawake, bali hata kwa wanaume na mbaya zaidi, jinamizi hilo limehamia...
11 years ago
Mwananchi05 Mar
Wana-CCM wanahofia nini kura za siri?
10 years ago
Michuzi