Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wana-CCM wanahofia nini kura za siri?

>Kwa muda wa takriban siku 16 sasa, wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wamekuwa katika njiapanda kuhusu kupiga kura ya siri au ya wazi katika kupitisha vifungu vya Rasimu ya Katiba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Ni kwa nini ccm wameshikilia kura za uraisi tu zisitangazwe kwenye vituo vya kupigia kura?

Hakuna shaka kua ccm wanataka kufanya wizi wa kubadilisha madokeo ya kura za Uraisi ,vipi madokeo ya kila kituo yanajulikana baada ya umalizikaji wa kupiga kura katika kituo husika halafu leo uambiwe usitangaze nani kashinda katika […]

The post Ni kwa nini ccm wameshikilia kura za uraisi tu zisitangazwe kwenye vituo vya kupigia kura? appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mwananchi

Ngeze: Kura za wana CCM pekee hazitoshi

Mwenyekiti mstaafu wa CCM Mkoa wa Kagera, Pius Ngeze amesema wameunda kamati ya wazee wa mkoa huo ili watumie uzoefu wao kutafuta ushindi, akisema kura za wanachama pekee haziwezi kuwavusha wagombea wa chama hicho.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Nitatoka bungeni CCM wakipitisha kura ya siri’

>Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Joseph Selasini ametishia atakuwa wa kwanza kuondoka bungeni kama CCM watafanikisha kampeni zao za kuwashawishi wajumbe wake kutetea misimamo mbalimbali, ukiwamo wa kura ya siri.

 

10 years ago

Vijimambo

Hii Ndiyo Shughuli ya Lowassa Kesho.. Je! Hao Wana CCM Wengine Wanaotarajia Kutangaza nia Wana Nguvu ya Kutosha?


Hii ndiyo shughuli ya Lowassa kesho.. Uwanja wa Sheikh Amri Abeid utatapika kesho ...Je! Hao wana CCM wengine wanaotarajia kutangaza nia wana nguvu ya kutosha? Makongoro, Wasira, Membe, Mwigulu... Mkombozi wenu ni CHIMWAGA (NEC) tu..

 

10 years ago

GPL

WAIMBA INJILI WANA NINI?

Stori:Na Mwandishi Wetu
MENGI yameibuka kufuatia waimba Injili Bongo kukumbwa na kashfa mbalimbali zikiwemo ndoa zao kuvunjika, madai ya kuchepuka, kupata ujauzito nje ya ndoa na matumizi ya madawa ya kulevya, Uwazi limechimba na kuchimbua. Janet Mreme akiwa na mume wake Jonas Mrema. BADO JINAMIZI LA KUVUNJA NDOA LAWAANDAMA
Mpaka sasa, waimba Injili wanawake wameshakumbwa na mikasa mbalimbali lakini mpya kabisa ni madai ya...

 

10 years ago

Habarileo

Mzindakaya: Wanaoshutumu Bunge wana ajenda ya siri

Mwanasiasa mkongwe nchini, Dk Chrisant MzindakayaMWANASIASA mkongwe nchini, Dk Chrisant Mzindakaya amesema watu wasioitakia mema wameumbuka baada ya wajumbe wa Bunge Maalumu kuamua kubakia wamoja na kupata Katiba Inayopendekezwa.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

CCM: YAANZA KUUZA UZA -HISA ZA PBL KWA $$$: milioni 80. SIRI SIRI

Asalamu Alaikhum Ndugu Watanzania Wa Zanzibar na Tanganyika natumai mumeamka salama na muko katika harakati za kutafuta KIJIO. Ama mimi sina budi ila kumshukuru Mwenyezi Mungu kwakunijaalia kunipa uzima, afay na muda huu mdogo wakufikisha ujumbe […]

The post CCM: YAANZA KUUZA UZA -HISA ZA PBL KWA $$$: milioni 80. SIRI SIRI appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Bongo5

Wanaoenda kushoot South wana biashara za siri – Afande Sele

Afande-Sele-nzuri_full

Afande Sele amedai kuwa anawashangaa wasanii wanaoenda kushoot video zao nje ya nchi wakati Tanzania ina kila kitu.

Afande-Sele-nzuri_full

Rapa huyo mkongwe aliyekuwa kimya kutokana na shughuli za kampeni, ameiambia Bongo5 kuwa anaamini wasanii wanaosafiri kwaajili ya kushoot video nje, wana bishara zao za siri.

“Kwenye kushoot video nje ni ulimbukeni,” amesema.

“Tanzania tuna kila kitu kuliko hata huko wanakoenda. Mimi hii naitafsiri ni usaliti wa nchi, sisi tunakosa nini hapa nyumbani? Tuna milima, mbuga,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani