Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Nitatoka bungeni CCM wakipitisha kura ya siri’

>Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Joseph Selasini ametishia atakuwa wa kwanza kuondoka bungeni kama CCM watafanikisha kampeni zao za kuwashawishi wajumbe wake kutetea misimamo mbalimbali, ukiwamo wa kura ya siri.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Kura za hapana,siri zarindima bungeni

  Kampeni kali zatawala kwa wajumbeWajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, jana walianza kupiga kura kupitisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, huku ikifanyika kampeni kali kusaka theluthi mbili za wajumbe baada ya suala la Mahakama ya Kadhi kushindikana kuingizwa kwenye rasimu hiyo.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wajumbe watatu wanaowakilisha madherhebu ya dini na Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Andrew Chenge, walipewa fursa ya kuzungumza na kutoa kauli za kuwashawishi wajumbe wakubali...

 

11 years ago

GPL

MAALIM SEIF: IPIGWE KURA YA SIRI BUNGENI

WIKI iliyopita safu hii, kutokana na mambo ya kiitifaki, ilihamia Ofisi Ndogo ya Chama Cha Wananchi, CUF, Buguruni,  Dar na kukutana na Katibu Mkuu wake ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar,  Maalim Seif Sharif Hamadi na kufanya naye mahojiano maalum. Waandishi Elvan Stambuli (pichani juu kushoto) na Ojuku Abrahamu walimhoji mambo mbalimbali na baadhi ya maswali na majibu ni haya yafuatayo: Mwandishi: Ipo...

 

11 years ago

Mwananchi

Wana-CCM wanahofia nini kura za siri?

>Kwa muda wa takriban siku 16 sasa, wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wamekuwa katika njiapanda kuhusu kupiga kura ya siri au ya wazi katika kupitisha vifungu vya Rasimu ya Katiba.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

CCM: YAANZA KUUZA UZA -HISA ZA PBL KWA $$$: milioni 80. SIRI SIRI

Asalamu Alaikhum Ndugu Watanzania Wa Zanzibar na Tanganyika natumai mumeamka salama na muko katika harakati za kutafuta KIJIO. Ama mimi sina budi ila kumshukuru Mwenyezi Mungu kwakunijaalia kunipa uzima, afay na muda huu mdogo wakufikisha ujumbe […]

The post CCM: YAANZA KUUZA UZA -HISA ZA PBL KWA $$$: milioni 80. SIRI SIRI appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Raia Mwema

Kura ni siri ya mtu

NICHUKUE nafasi hii kuwatakia wasomaji wangu uchaguzi mzuri, huru na wa amani.

Privatus Karugendo

 

11 years ago

Mwananchi

Mjadala kura ya siri moto

Suala la kura za siri au za wazi limeendelea kuwagawa wabunge ambao jana walivutana kufikia uamuzi wa aina ya kura zinazofaa kupigwa kupitisha Rasimu ya Katiba.

 

11 years ago

Mwananchi

Wanasheria wasisitiza kura ya siri

Wanasheria mbalimbali nchini wamesisitiza kutumika kwa kura ya siri kama ilivyopendekezwa kwenye kanuni za Bunge la Katiba ili kuwapatia uhuru zaidi wajumbe hao na kuepuka misimamo inayowabana kutoka ndani ya makundi yao.

 

11 years ago

Mwananchi

Mrema: Kura ya siri ni unafiki

>Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Augustino Mrema amesema watu wanaotaka kura ya siri bungeni ni wanafiki huku Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wassira akiahidi kuonyesha wazi msimamo wake na kwamba ukiathiri ustawi wa taifa anataka aadhibiwe angali hai au mfu.

 

11 years ago

Mwananchi

Samuel Sitta: Kura ya siri

Mwenyekiti Mteule wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta amezungumzia uwezekano wa kutumia kura ya siri katika kuamua ibara nyeti katika Rasimu ya Katiba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani