Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAALIM SEIF: IPIGWE KURA YA SIRI BUNGENI

WIKI iliyopita safu hii, kutokana na mambo ya kiitifaki, ilihamia Ofisi Ndogo ya Chama Cha Wananchi, CUF, Buguruni,  Dar na kukutana na Katibu Mkuu wake ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar,  Maalim Seif Sharif Hamadi na kufanya naye mahojiano maalum. Waandishi Elvan Stambuli (pichani juu kushoto) na Ojuku Abrahamu walimhoji mambo mbalimbali na baadhi ya maswali na majibu ni haya yafuatayo: Mwandishi: Ipo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Maalim Seif akaangwa bungeni

Baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wamemshambulia vikali Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad wakimtuhumu kwamba anafanya njama za kuua Muungano.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Maalim Seif atoboa siri za ushindi wake

Mgombea Urais kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema kuwa mara tu baada ya kura kuhesabiwa watayapata matokeo ya uchaguzi mkuu na kuyatangaza kabla hata tume ya uchaguzi kuyapata. Amesema wameandaa system ya […]

The post Maalim Seif atoboa siri za ushindi wake appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Habarileo

'Maalim Seif warejeshe UKAWA bungeni'

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chama cha CUF, Seif Sharrif Hamad ametajwa tena bungeni akitakiwa kuwaambia kundi la wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) waliotoka bungeni, warudi.

 

10 years ago

Vijimambo

Kura za hapana,siri zarindima bungeni

  Kampeni kali zatawala kwa wajumbeWajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, jana walianza kupiga kura kupitisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, huku ikifanyika kampeni kali kusaka theluthi mbili za wajumbe baada ya suala la Mahakama ya Kadhi kushindikana kuingizwa kwenye rasimu hiyo.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wajumbe watatu wanaowakilisha madherhebu ya dini na Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Andrew Chenge, walipewa fursa ya kuzungumza na kutoa kauli za kuwashawishi wajumbe wakubali...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Nitatoka bungeni CCM wakipitisha kura ya siri’

>Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Joseph Selasini ametishia atakuwa wa kwanza kuondoka bungeni kama CCM watafanikisha kampeni zao za kuwashawishi wajumbe wake kutetea misimamo mbalimbali, ukiwamo wa kura ya siri.

 

9 years ago

GPL

MAALIM SEIF ALIVYOPIGA KURA YAKE LEO


Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad akipiga kura yake leo kwenye Kituo cha Mtoni, Chumba Na. 13, Zanzibar. Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad akipakwa wino baada ya kupiga kura yake leo. Maalim Seif Sharif Hamad akiinua juu mkono wake baada ya kupakwa wino kuonyesha tayari amepiga kura yake.… ...

 

9 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF APIGA KURA KITUO CHA GARAGARA MTONI KIDATU UNGUJA

Na Hassan Hamad, OMKR. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amepiga kura katika kituo cha Garagara Shehia ya Mtoni Kidatu jimbo la Mtopepo. Maalim Seif ambaye pia ni Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Wananchi CUF, amepiga kura katika kituo hicho mnamo majira ya saa nne asubuhi. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kupiga kura, Maalim Seif amesema ameridhishwa na jinsi wananchi walivyojitokeza kupiga kura, sambamba na utulivu uliokuwepo...

 

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AHIMIZA WAZANZIBAR KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiMAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Maalim Seif Sharif Hamad amewataka Wazinzibari kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura linalotarajiwa kuanza Mei 16 mwaka huu ili waweze kutumia haki zao  kikatiba za kushiriki uchaguzi mkuu kwa kupiga kura.


Maalim Seif Sharif Hamad ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama Cha  Wananchi (CUF),amesema kuwa uchaguzi mkuu uliopita ulikuwa wa uhuru na wa amani lakini ulikuwa na kasoro katika daftari la...

 

9 years ago

Michuzi

MGOMBEA URAIS ZANZIBAR (CUF) MAALIM SEIF AOMBA KURA KWA WAKAZI WA BUBUBU

MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ameahidi kuweka mazingira bora kwa wafanyabiashara wakubwa na wadogo iwapo atachaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu ujao.
Akiwahutubia wafuasi wa Chama hicho katika mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya Kwageji Bububu, Maalim Seif amesema atarekebisha mfumo wa ushuru katika bandari ili kuepusha wafanyabiashara kulipa ushuru mara mbili wanaposafirisha mizigo yao kuelekea bandari ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani