FLORA IMARISHA NDOA YAKO?, ?INJILI ITANOGA KWELI?!?

BWANA Yesu asifiwe dada yangu! Habari za siku nyingi na pole na mishemishe zako za kila siku, Mungu ni mwema, natumai anazidi kukubariki na unazidi kupambana na maisha.Binafsi namshukuru Mungu, sijambo naendelea na shughuli zangu kama kawaida. Hofu na mashaka ni kwako wewe uliye mbali na mboni za macho yangu. Dhumuni la barua hii ni kutaka kuzungumza na wewe juu ya mustakabali wa muziki wako wa Injili ambao mimi pamoja na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
SHOGA; MAMA YAKO ASIKUINGILIE KWENYE NDOA YAKO
11 years ago
GPL
NDOA YA FLORA MBASHA CHALI
10 years ago
GPL
WAIMBA INJILI WALIOTESWA NA NDOA
10 years ago
Vijimambo10 May
DJ GULU RAMADHANI NANJI ATIMIZA MIAKA 19 YA NDOA YAKE, VIJIMAMBO BLOG INAKUTAKIA MIAKA AMANI NAFURAHA ZAIDI KATIKA NDOA YAKO.

Oooh Allah Naona Kama Naota Vile Kama Siamini Vile...Asante Sana Mungu Kwa Pumzi Unayotupa Hadi Leo Tarehe 10 May Twafikisha Miaka 19 Ya Ndoa Yetu Mimi Na Mke Wangu Kipenzi Bi Khadija Gulu...Asante Sana Bi Wife Kwa Kustahmili Mengi Kutwa Nipo Katika Mihangaiko,Safarini Kikazi Lakini Mungu Amekujaalia Upendo,Subra,imani Na Moyo Wa Kipekee Wa Kijasiri Sijapata Kuona Wa Kuweza Kukaa Na Familia Kama Mume Nipo Nyumbani Wakati Wote,Wewe Kweli Ni Mke Bora...Wakati Twafunga Ndoa Wengi Walidiriki...
10 years ago
GPL
AUNT:NI KWELI NIMEZAA NJE YA NDOA!
11 years ago
GPL
NDOA! WANAOTAKA KUTOKA NI WENGI KULIKO WANAOINGIA, SI KWELI!
11 years ago
Vijimambo04 Nov
NDOA! WANAOTAKA KUTOKA NI WENGI KULIKO WANAOINGIA, SI KWELI!

NDOA ni mpango wa Muumba ulio wazi kabisa kwamba, wakati wa uumbaji wa Adam na Eva, ndiyo ndoa ya kwanza ilifungwa kwenye Bustani ya Eden.
Ndoa hiyo ilifungwa pale Mungu aliposema; ‘si vizuri kumwacha peke yake mtu huyu (Adam) tumfanyie msaidizi (Eva)’. Baada ya Mungu kumuumba Eva, akawaweka pamoja na kuwa mke na mume! MPANGO WA NDOA
Kwa hiyo kumbe, mpango wa ndoa kwa binadamu ni matakwa ya Mungu si ubunifu wa binadamu kama wengi wanavyofikiri.
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na msemo kwamba,...
11 years ago
GPL
NI RAHISI SANA KUIMARISHA NDOA YAKO!