Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waimbaji Injili wakipitie mbali kikombe cha utapeli

NIMEKUWA nikiandika uchambuzi wa maoni juu ya waimbaji wa muziki wa Injili, ambapo pamoja na kazi nzuri wanayoifanya ya kufikisha ujumbe wa Neno la Mungu kwa njia ya kuburudisha, baadhi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Waimbaji Injili waaswa

WAIMBAJI wa muziki wa Injili wametakiwa kurudia umoja na upendo aliowaachia Yesu ikiwa ni pamoja na kuzidi kumtumikia Mungu, kwani hawajui vilivyo mbele yao. Kauli hiyo ilitolewa hivi karibuni na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waimbaji Injili waliofunika 2013

KAMA utakuwa sahihi, huwezi kuwataja waimbaji wa nyimbo za Injili nchini na Afrika Mashariki bila kuyataja baadhi ya majina kutokana na mvuto na ubora wa kazi zao sokoni. Miongoni mwao...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waimbaji Injili waaswa wajitafakari

MWIMBAJI chipukizi wa nyimbo za injili, Upendo Mollel amewaasa waimbaji wenzake nchini kujitafakari na kujipima kuwa mwaka huu watamtumikia Mungu kwa viwango gani. Akizungumza na Tanzania Daima katika mahojianio maalumu,...

 

9 years ago

Mtanzania

Lucy awaonya waimbaji wa injili

NA GEORGE KAYALA

MWIMBAJI wa nyimbo za injili nchini, Lucy Masha, amewaonya waimbaji wenzake kuishi maisha matakatifu na
kuwa kielelezo kizuri katika jamii badala ya kufanya mambo yaliyokinyume na kile wanachokiimba kwenye tungo zao.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Lucy, anayetamba na albamu yake aliyoipa jina la ‘Tetea Maisha Yangu’, alisema anaumizwa anapoona waimbaji wenzake wanafanya matendo yenye machukizo mbele za Mungu na kwa mtu asiyewajua huwachukulia kama wapagani, wakati wakiwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nini hasa fahari ya waimbaji wa Injili?

”KILA mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe, kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe, kila mtu atatoa hesabu yake mwenyewe siku hiyo ikifika…” Hiki ni kipande cha wimbo ambao ulivuma na kupendwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MSAMA ATENGANISHA WAIMBAJI WA INJILI NA SIASA.

MKURUGENZI wa Kampuni ya Msama Promotions ambayo ndio inaandaa matamasha ya Pasaka na Krismasi, Alex Msama amekemea waimbaji wa muziki wa Injili Tanzania kufanya kazi ya Mungu na kuachana na siasa ambazo zinawaondoa kwenye uinjilishaji.
Msama ameyasema hayo wakati tukielekea kwenye uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na urais unaotarajia kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.
Msama anasema karipio hilo linawahusu pia viongozi wa dini wakiwamo Wachungaji na Maaskofu ambao wanaonesha nia ya kutaka...

 

10 years ago

GPL

VEGA-CAPPELA, WAIMBAJI WA INJILI WASIOTUMIA ALA ZA MUZIKI

Kundi la Vega-Capella wakiwa katika pozi tofauti za uimbaji. KAMERA yetu leo imekutana na kundi la waimbaji wa Injili liitwalo Vega-Capella ambapo washiriki wake huimba kwa kutumia sauti zao -- bila kutumia ala yoyote ya muziki ambayo wanaiita kwa jina la ‘Akapella’. Kundi hilo lililoanza shughuli zake mwaka limedhamiria kuendelea na juhudi zake za kueneza… ...

 

9 years ago

Michuzi

WAIMBAJI NYIMBO ZA INJILI WAAOMBA WATANZANIA KUJITOKEZA KATIKA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI

 Mwimbaji  wa nyimbo za Injili Upendo Nkone (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo katika ofisi za  Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya tamasha kuombea amani ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama  kuhusiana na kushiriki katika tamasha la kuombea amani kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu. Kulia ni Mwimbaji wa nyimbo za Injili John Lisu na kustoto ni Christophe Mwanganyira.Mwimbaji wa nyimbo za Injili John Lisu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani