Waislamu taabani,Austria Kunani ?
Wakristu na wayahudi wataruhusiwa kupokea misaada iwapo sheria hiyo itapitishwa lakini Waislamu na Masheikh hawatoruhusiwa
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-95EPrOC0dhM/VZObAygQWII/AAAAAAAHmKw/94_pYAZBH68/s72-c/unnamed%2B%252851%2529.jpg)
MZIMU WA NGOMA AFRICA BAND KUIBUKIA MAMLING FESTIVAL, AUSTRIA, Jumapili 5 Julai 2015-Austria
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-ughaibuni,yenye makao nchini Ujerumani,inatarijiwa kutumbuiza katika maonyesho makubwa ya muziki na utamaduni Mamling Festival siku ya jumapili 5 Julai 2015 alhasiri katika viwanja vya Schlosspark,Mamling 3, Mining nchini Austria. Watayarishaji wa onyesho hilo wameitaja bendi hiyo ya Ngoma Africa band kuwa muziki wake ni sawa na mzimu unawapeleka puta washabiki katika maonyesho ya kimataifa na washabiki nchini Austria...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/S4xgI8hj9Ws/default.jpg)
9 years ago
BBCSwahili05 Sep
Wakimbizi wawasili Austria
Mamia ya wakimbizi walio na nia ya kuondoka nchini Hungary wameanza kuvuka mpaka kwenda nchini Austria
9 years ago
BBCSwahili30 Aug
71 wafa Austria,mshukiwa wa 5 akamatwa
Polisi nchini Hungary wamemkamata mtu wa tano kufuatia vifo vya wahamiaji 71 waliopatikana ndani ya lori moja wiki iliyopita.
9 years ago
BBCSwahili29 Aug
Watuhumiwa vifo Austria kortini
Watu wanne waliotiwa mbaroni baada ya miili ya watu sabini moja ya wahamiaji kupatikana kwenye lori nchini Austria wanatarajiwa kufikishwa mahakamani nchini Hungary leo.
10 years ago
BBCSwahili05 Jul
Mazungumzo ya Iran kuendelea Austria
Mawaziri wa mashauri ya nchi za kigeni kwenye mazungumzo ya Iran wanatarajiwa kurudi mjini Vienna kutafuta makubaliano
9 years ago
BBCSwahili27 Aug
Miili ya wahamiaji yapatikana Austria
Maafisa wa Austria wamesema wamegundua miilli ya wahamiaji iliachwa ndani ya lori karibu na mpaka wa nchi hiyo na Hungary
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/83318000/jpg/_83318372_475220834.jpg)
Ghana draw with Austria in U-20 opener
Ghana open their Fifa Under-20 World Cup campaign in New Zealand with a 1-1 draw against Austria in the Group B fixture.
10 years ago
BBCSwahili17 Oct
Mwizi wa mapenzi akamatwa Austria
Polisi nchini Austria wanawahoji wanawake ambao wamehadaiwa na mwanamume mwenye mazoea ya kuwapenda wanawake wengi tu.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania