‘Wajasiriamali tumieni nembo ya TBS’
WAJASIRIAMALI nchini wameshauriwa kutumia nembo ya ubora TBS ili kuhakikisha ubora wa mlaji na mtumiaji wa bidhaa hizo. Ushauri huo umetolewa na Ofisa Udhibiti Ubora TBS, Prisca Kisella, wakati akizungumza...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi30 Jul
Nembo ya TBS inawanyanyua wajasiriamali wadogo nchini?
11 years ago
Habarileo04 Apr
TBS yaonya wanaoghushi nembo yake
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeonya wanaoendelea kutumia nembo yake ya ubora kwa njia ya udanganyifu na kusema kufanya hivyo ni kuwaumiza watumiaji na kuvunja sheria ya viwango.
11 years ago
Habarileo06 Apr
'Wajasiriamali tumieni soko la EAC'
WAJASIRIAMALI nchini wametakiwa kuweka mikakati thabiti ya kuingia kwenye soko la pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki ili kujiletea maendeleo.
10 years ago
Tanzania Daima14 Oct
Wajasiriamali washirikiane na TBS
WAJASIRIAMALI nchini wametakiwa kutoa ushirikiano kwa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), na kufuata taratibu zinazotakiwa ili kuweza kupatiwa alama za uthibitisho wa bidhaa. Akizungumza na Tanzania daima jijini Dar es...
11 years ago
Tanzania Daima26 Jan
Wajasiriamali wailalamikia TBS
SHIRIKA la Viwango nchini (TBS) limetupiwa lawama na wajasiriamali wadogo wanaozalisha bidhaa zinazotengenezwa hapa nchini. Malalamiko hayo yalitolewa jijini Dar es Salaam na baadhi ya wajasiriamali walipozungumza na Tanzania Daima...
11 years ago
Tanzania Daima17 Apr
TBS yawapa somo wajasiriamali
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wajasiriamali na wafanyabiashara wakubwa nchini kuboresha bidhaa zao kwa kuzingatia viwango vya ubora unaotakiwa. Mkurugenzi wa Kudhibiti Ubora wa Viwango wa TBS, Tumaini Mtitu,...
10 years ago
Tanzania Daima18 Nov
Manufaa ya wajasiriamali wa nyuki kujisajili TBS
LICHA ya Tanzania kuwa nchi ya pili Afrika kwa uzalishaji wa asali na nta, bado mazao ya nyuki yanashindwa kupenya vizuri katika masoko ya kimataifa na soko la dunia kwa...
10 years ago
Tanzania Daima07 Oct
Jitihada za TBS kuwainua wajasiriamali kiuchumi
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) ni taasisi isiyowachoka wajasiriamali wakubwa, wa kati na wadogo kwa lengo la kuwainua kiuchumi katika uzalishaji wao. Shirika hili limekuwa likitoa mafunzo kwa wajasiriamali namna...
11 years ago
Tanzania Daima17 Jun
TBS kutokomeza bidhaa bandia kwa wajasiriamali
UZALISHAJI wa bidhaa zilizo chini ya kiwango nchini umekuwa ni tatizo sugu linaloathiri afya za Watanzania na uchumi kwa ujumla. Mazingira duni ya maeneo ya uzalishaji yasiyozingatia masuala ya kitaalamu...